Haya sasa hayawi hayawi yamekuwa Leo PSG mapema twanyanyua ndoo
Umeona eeh nyie watoto lainiTu subiri tarehe 23 acha maneno mengi
Umemjibu vizuri dogo aliidharau BavariaHongereni kwa kunyanyua ndoo ya kuogea
.Hujainama Wewe mkuuInakuwaje ndoto wakati mtu tayari kapambana kafika fainali? Muwe na akiba ya maneno ndo maana yakitokeaga ya kutokea tukiwaangalia usoni mnainama
Ndoo ya maji topeHaya sasa hayawi hayawi yamekuwa Leo PSG mapema twanyanyua ndoo