Paris Saint Germain PSG (The Parisians)| Special thread

Paris Saint Germain PSG (The Parisians)| Special thread

PSG wakipata hili kombe itakua ni ishara kwamba Buffon ni kigundu kwenye timu. Alienda PSG ili achukue UCL, PSG haikufika kokote, msimu uliopita akaamua kurudi Juve ii aje kupambania UCL akiwa huko, Juve wametolewa na Lyon na PSG imetinga fainali.

Buffon anaweza kustaafu bila UCL.
 
Ni ndoto psg kubeba ubingwa mbele ya Mjerumani, wasifikiri hao Nantes.
 
Fainali ikiwa kati ya PSG na Bayern itakuwq murua sana.
 
Haya sasa hayawi hayawi yamekuwa Leo PSG mapema twanyanyua ndoo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom