Tatemahunda
JF-Expert Member
- Sep 14, 2013
- 232
- 92
Hakuna usawa hata kwa wafu, wengine wanaitwa marehemu na wengine wanaitwa hayati, watu waache povu ni ujinga kujifanisha na mzungu halafu kesho mnakwenda kuwaombaomba misaada.Binadamu wote ni SAWA lakini sio SAWA SAWA! Hii ni fact ambayo wengi hawaijui na hata kama wanaijua hawaikubali. Mzungu ana thamani kuliko mwafrika! Thamani au utu wa mtu unategemea mambo mengi.... si ubinadamu tu! Lakini hakuna wa kumlaumu bali ni sisi waafrika wenyewe. Hatutaki kuthamini utu wetu! Kama wewe mwenyewe huthamini utu wako, ni nani mwingine atakayethamini?
Halafu kesho asubuhi unapanga foleni kuomba viza uzamie hukohuko uzunguni, Wabongo bana.wa Nigeria kibao hufa siku hadi siku, sijasikia wazungu wakilani sana, leo wamekufa mia tu dunia nzima hatulali, kinachokera ni kuona sisi waafrika wenyewe mishipa imetusimama kukemea mauaji yale, mbona yakitokea kwetu wako kimya?? tuacheni kujipendekeza kwa wazungu...
Ni kawaida kusikitika pale unapotokea msiba kama ulio tokea Paris, mambo yafuatayo yanazid kunifanya niwachukie wazungu na pia kuwahurumia waafrika wenzangu kutawaliwa hadkiakili
Africa try to think
Hao waarabu wanapenda kufa kufa kwao kuuana ni hobby na thawabu kwa iyo watu wamezoea.