GE2025 Paresso: Watanzania twendeni tukaweke historia kwa kumchagua Rais wa kwanza mwanamke anayetokana na kura za Watanzania

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
505
Reaction score
887
Watu wakapige kura kwaajili ya maendeleo au kwaajili ya kuweka historia ya mtu? Huu ni ushamba mwingi bhana unachekesha sana. Uchawa uchawa uchawa tuuuu!
==============
"kura yako ya ndiyo ni yenye thamani kubwa kwa Dkt. Samia Suluhu Hassan tumpe ahsante kwa kazi kubwa aliyoifanya kwa kipindi cha miaka minne na nusu" amesema Paresso

"Watanzania twendeni tukaweke historia kwa kumchagua Rais wa kwanza mwanamke anayetokana na kura za Watanzania" ameongeza Paresso

Cecilia Paresso ametoa wito huo leo Oktoba 23, 2025 alipokuwa katika mkutano wa hadhara wa mgombea Urais wa CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan uliofanyika Buza jijini Dar es Salaam

Hiyo ni mechanically engineered history. Faki ze fazafaka!
 
Na hili ndio nyinyi machawa mnaomchochea, MTU mjinga kama huyo, aonekane alipigiwa Kura hata kama ni Kwa kuua watu.

Wote mtaenda Jela.
 
Watu wakapige kura kwaajili ya maendeleo au kwaajili ya kuweka historia ya mtu? Huu ni ushamba mwingi bhana unachekesha sana. Uchawa uchawa uchawa tuuuu!
==============
"kura yako ya ndiyo ni yenye thamani kubwa kwa Dkt. Samia Suluhu Hassan tumpe ahsante kwa kazi kubwa aliyoifanya kwa kipindi cha miaka minne na nusu" amesema Paresso

"Watanzania twendeni tukaweke historia kwa kumchagua Rais wa kwanza mwanamke anayetokana na kura za Watanzania" ameongeza Paresso

Cecilia Paresso ametoa wito huo leo Oktoba 23, 2025 alipokuwa katika mkutano wa hadhara wa mgombea Urais wa CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan uliofanyika Buza jijini Dar es Salaam

Tukamchague wakati alishajichagua mwenyewe....?
 
Back
Top Bottom