GE2025 Paresso: Reforms tulizozitaka tukiwa CHADEMA zimefanyika CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,038
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Cecilia Paresso amesema kuwa "No reforms no election" ilishafanyiwa kazi ndani ya Bunge ikiwemo mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi na mabadiliko ya sheria na utekelezaji wake umeanza katika uchaguzi wa mwaka huu.

Soma pia: Cecilia Paresso achukua fomu ya kuomba CCM kugombea Ubunge Jimbo la Karatu Mkoani Arusha

Ametoa kauli hiyo Septemba 5,2025 Jimboni Hai Mkoani Kilimanjaro alipokuwa akimnadi mgombea Urais wa chama chake Dkt. Samia Suluhu Hassan.

"Kule tulipokuwa kwingine kwa upande wa pili tulikuwa tunapiga keleleza No reforms no election na hiki kinachoitwa reforms imesha fanyika ndani ya bunge na Wabunge wenzangu pale ni mashahidi, tumebadilisha Sheria na kuweka Yale ambayo walikuwa wanapigia kelele na utekelezaji wake umeanza katika uchaguzi wa mwaka huu" alisema Paresso.
 
View attachment 3466540

Tulia ule si umeshawin?
 
Body language yake imemsaliti anachokiongea hakimaanishi wanasaikolojia wanaelewa vyema.
 
Back
Top Bottom