Paredi ya mini skirt !!!

hiiyo gwaride kwa wakuu wa majeshi na wenye veo kuchagua ma P.A
 
huyu mpiga picha ananikumbusha in my school days tulikuwa tunakaa nyuma ya mabinti wazuri kweye paledi haafu tuna tupa kioo chini ili tuone ................
 
Eh kama Moscow vile..

kuna member ameanzisha uzi anapenda wadada wa viatu vya mchuchumio na min skirt so achukue hii pic akanyetolize!
 
Objective ya hii parade ilikua ni nini?
Au ndo kuangalia maumbile?
 
Eh kama Moscow vile..

kuna member ameanzisha uzi anapenda wadada wa viatu vya mchuchumio na min skirt so achukue hii pic akanyetolize!

Acha utoto na akili ndogo, unafikiri vitu vya ajabu tu kichwani.
 
Ingekuwa hivi huku bongo ningechukua fani ya upaparazi na ningekuwa nahudhuria sherehe za kitaifa uwanja wa taifa bila kukosa.
 
UOTE=grafani11;7078553]Mimi niliukuwa naona giza na steelwire kwa wingi tu.[/QUOTE]

:tape::tape::tape::tape::tape::tape:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…