Linafit kila mahali
Kama ni breakfast yenye mkate waweza litumia kama siagi lakini kama una sausages waweza sindikizia nalo
Kama unakula foil nyama choma au kitimoto kavu katia. Vipande kadhaa vya parachichi juu yake hutahitaji kachumbari yenye minyoo
Lakini kama ni ubwabwa na maharagwe au makande ongezea parachichi na kikombe cha mtindi utatamani kila siku
Kama ni msosi mwingine wowote kula mwishoni bado ladha yake itaisuuza roho yako