Siyo ubahili Lara 1, mademu wengine ni wa kupigia picha tu.... Ni dudu baya pekee alipiga zile picha na yule demu, tena pengine maudhui ya wimbo ndo yalim'bana, nyie wengine ni wa kupigia picha tu..
Nyie ndo mmezidi, ya mnataka mtongozwe kwa vogie, mkagegedwe five star hotel, shoping mpelekwe ufaransa, ukirudi ununuliwe nyumba ufukweni, starehe zako za weekend upelekwe SA.... Sasa hapo si ndo full ready made.... Ya chilimeni...??? Yaani mkiwazaga hayo, wazo la haki sawa huwa linawatoka kabisa..