Papuchi Material Vs Mizinga Material...??

Status
Not open for further replies.

Ph-25

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2012
Posts
1,159
Reaction score
540
Kila kukicha matatizo ya mapenzi na uzazi yanazidi ktk jamii inayo tuzunguka..

Ukichunguza utagundua kua wanaume wanaopenda ngono{papuchi material} ni tatizo,na wanawake mizigo wasio jielewa wanataka nini ktk mapenzi{mizinga material} ndio tatizo, na wanasumbua kweli kweli usiombe ukutane nao teh teh teh mbona utajuta.!!

Kila upande unalaumu wapili kwamba ndio tatizo..

Wanaume: tunalalamika kila kukicha eti kwamba hakuna wife material,wanawake wengi ni dizaini ya mizinga material.,vidundo kila siku mala ela ya kodi,mawigi ya laki mbili mbili,ela ya birthdai ya shoga yake,akiona mwenzie kavaa jinz flani nae anataka,cm ndo usiseme mala black bery za laki sita sita pasipo kuangalia kipato cha mwenzie,wakati huyo demu mwenyewe baba yake hana uo uwezo wa kumtimizia hayo maitaji,cm anayo tumia mzazi wake ni nokia ya tochi batani zimevimba utazani zina mimba..

Wanawake: hawa sasa ndio balaa tupu utawasikia aaah mwanaume suruali,mwanamke gharama,hajui kuniudumia anajua kunitumia,ana kibamia nikikohoa kinachomoka,nataka mgegedo wa haja,hanifikishi kilele na mengne mengi mengi..

Binafsi naamini hakuna aliezaliwa perfect hata siku moja,wife material na hubby materia nilazima watengenezwe tangu mwanzo wa mahusiano yenu...mwanaume ukishndwa jukumu lako la kumjenga mpenzi wako mapema uhusiano utakushinda na utasaidiwa na wenzio wenye nia ya dhati ktk mapenzi.

"mwanake lazima ujue kua umeumbwa kwa ajiri ya mwanaume,na usipo jielewa neno mume utaishia kulisikia kwa mashoga zako wanao jielewa na kujieshimu"

swali ni Jeee una dhani kua ktk dunia ya sasa huwezi mpata atakae kidhi hitaji lako la ndoa na familia.?

Je nini hupelekea wanaume kugeuka kua papuchi material badala ya hubby material na wanawake kua mizinga material badala ya wife material.?

Karibuni kwa mjadala.

Finito...
 
Tatizo lenu mnapenda ready made,mpambiwe,mrembewe,mtengenezewe,mkarabatiwe mle kiulaini tu....!!!!
 
Ukiwa bahili usipende demu wa maoneshoo! Nichukue mie Manka niendane na uwezo wakoo sio kutamani kina Klyn wakati uwezo huna!
 
Papuchi material vs mizinga material, kazi ipo!
 
Ukiwa bahili usipende demu wa maoneshoo! Nichukue mie Manka niendane na uwezo wakoo sio kutamani kina Klyn wakati uwezo huna!

teh teh teh najisikia faraja sana kusoma ulicho kiandika,nita ku pm soon japo wanaume wengi humu ndani wanakuogopa,ila binafsi nitakumudu lara 1
 
Last edited by a moderator:
tuna anzisha lugha yetu soon humu
lugha ya wana JF ...

mkuu humu ndani ndio lugha zetu izi siunajua saizi watoto wa mulugo wengi humu so tunatumia maneno haya kuwapoteza maboya.
 
Tatizo lenu mnapenda ready made,mpambiwe,mrembewe,mtengenezewe,mkarabatiwe mle kiulaini tu....!!!!

naisi nawe ummoja wao mizinga materia mana umelalamika sana,lakini kumbuka apo mko ktk uhusiano wa kawaida wa mapenzi,walasio uchumba wala ndoa,zen unampa majukumu ya kukulea huoni kua uo ni ujinga.?
 
binafsi naamini hivi unless hujapenda ila ukipenda kweli bado hii sio ishu.
huko kitaa waliodotcokimka wanasemaga ""BILA PESA MADEMU WAZURI UTAISHIA KUWAITA SHEMEJI""

lakin bado wapo wanaopenda kwa dhati kwa dhati kwamba awe mke/mume so kwake akipata mwenza hatojali hayo.
 
ukiwa bahili usipende demu wa maoneshoo! Nichukue mie manka niendane na uwezo wakoo sio kutamani kina klyn wakati uwezo huna!

mwanume bila pesa madem waazuri utaishia kuwaita shemeji.
Quote nsee a muro signature
 
Last edited by a moderator:
teh teh teh najisikia faraja sana kusoma ulicho kiandika,nita ku pm soon japo wanaume wengi humu ndani wanakuogopa,ila binafsi nitakumudu lara 1
Weee, Lara 1 mraisi tu na si alisema yeye ni fuata upepo.... Kwamba ukivumia kusi, naye huyooo kusiiiiii.... Vivyo hivyo kaskazii... Chezeya Manka weyee....
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…