Pappa Mrisho na Jackline Wolper

Inkoskaz

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
6,360
Reaction score
2,389

Huyu Mkulu kwa mapose na wasanii kila uchao hawezekani!
 
haya bana nitafata nyuki nami nipate asali
 
Hapo Vicent alikuwa anataka nini? Anachungulia au anataka na yeye aonekane kwa background kama wale madogo wakiona mtu anarekodiwa katika tukio litakalorushwa ktk TV?
 
Hapo Vicent alikuwa anataka nini? Anachungulia au anataka na yeye aonekane kwa background kama wale madogo wakiona mtu anarekodiwa katika tukio litakalorushwa ktk TV?
anauza nyago...............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…