Papers za Geography au SST

Lyn Vivac

JF-Expert Member
Aug 30, 2016
858
1,017
Hello wadau, nafahamu hapa nipo mahali sahihi kabisa. Mimi ni mwl wa geography, nahitaji kama kuna walimu wenzangu humu hasa kwa private schools tusaidiane namna ya kupata papers na kutungiana mitihani kama utawezekana, au pia kubadilishana mitihani toka katika shule mbalimbali. Kama wapo Tafadhali karibuni..
 
Back
Top Bottom