Pole,ili usipishane na hizo pesa tafuta fundi umpe pesa akusaidie.Inawezekana kama hakuna paper jam ni sensor inayohusika na mambo hayo imehang na inakupa message hiyo,tafuta mtu aifanyie service probably yaweza saidia.Angalia kama hakuna vipande vya karatasi ,ondoa tray uangalie kwa makini ,safisha rollers.Pata mtaalam anayeweza kuifungua vipande vipande then kuirudisha,inawezekana kuna kitu hakijakaa vizuri,vispring au hardware zinazofanya kazi ya kupitisha karatasi .Sema uko wapi kuna vijana wanaweza kuja huko uliko cha muhimu uwe tayari kulipa bill zao.