Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,864
Ukiyasogelea karibu utagundua kuna vijidudu vidogo vyeupe hivi, sasa wewe puliza Rungu ya mbu hapowakuu niliotesha papai langu Mungu mkubwa limeota vizuri na limetoa matunda ya kutosha .sasa hivi sijui limepata majanga gani matunda yote yapo kama yamemwagiwa unga unga hiv,
naombeni ushauri. nilitibu vipi?
Pole sana shamba lipo wapi nije kukaguwawakuu niliotesha papai langu Mungu mkubwa limeota vizuri na limetoa matunda ya kutosha .sasa hivi sijui limepata majanga gani matunda yote yapo kama yamemwagiwa unga unga hiv,
naombeni ushauri. nilitibu vipi?
kweli mkuu?Ukiyasogelea karibu utagundua kuna vijidudu vidogo vyeupe hivi, sasa wewe puliza Rungu ya mbu hapo
dsm mkuu
heeeeMwagia oil chafu
Punguzeni kujipaka machemicals
ahahaaaMawazo ya sisi watanzania bwana...mtu kasema papai watu wanaimagine mapapai yao
Sent using Jamii Forums mobile app
heeeeeHiyo ni kawaida yenu wanawake mabonge,huwa mapapai yenu yanatoa ungaunga!cjui ni joto..
Watu wa ajabu sana hawa!Mawazo ya sisi watanzania bwana...mtu kasema papai watu wanaimagine mapapai yao
Sent using Jamii Forums mobile app