Papaa Mukulu

Staili hiyo inanikumbusha jamaa mmoja alikuwa anaitwa saba sita...sijui yuko wapi huyu mtu
 
Staili hiyo inanikumbusha jamaa mmoja alikuwa anaitwa saba sita...sijui yuko wapi huyu mtu

Hilo jina kama nalikumbuka hivi kuna jamaa alikuwa anaitwa jina kama hilo alikuwa FFU, BUKOBA!!! tena yeye alikuwa anavaa na suspenders kabisa.
 
Hilo jina kama nalikumbuka hivi kuna jamaa alikuwa anaitwa jina kama hilo alikuwa FFU, BUKOBA!!! tena yeye alikuwa anavaa na suspenders kabisa.
Ndiyo huyo mkuu sijui jamaa yuko wapi....Kuna kipindi nilimuona Arusha ila sijui kwa sasa alikuwa anambwembwe sana na alikuwa mtundu wa kuendesha pikipiki mnooo
 
Ndiyo huyo mkuu sijui jamaa yuko wapi....Kuna kipindi nilimuona Arusha ila sijui kwa sasa alikuwa anambwembwe sana na alikuwa mtundu wa kuendesha pikipiki mnooo

Saba sita mara ya mwisho alikuwa Morogoro, pamoja na mbwembwe zote za 7 6 lakini yeye ndo alifanikiwa kumuua jambazi mmoja hatari sana kwa utekaji barabara ya moro-iringa-mbeya-tunduma.

Alimuulia morogoro na ndo maana siku hizi matukio ya uporaji na utekaji hasa msitu wa simba pale kupita mikumi kama unakuja ruaha mbuyuni umepungua sana kama sio kwisha kabisa,pia mlima kitoka papo shwari siku hizi na hata msitu wa sao hill mafinga nako shwari.

Zamani hizi IT zimepotea sana katika mazingira ya kutatanisha
 
Tulivyokuwa watoto uswahilini kwetu watu waliokuwa wanavaa hivyo ndio walikuwa wanajifanya wao watu wa bia sana, basi tulikuwa tunasimama nje ya baa tunawaangalia, wakilewa kidogo tu na ikipigwa ile nyimbo Indemonii ndio wajiona wao Kanda Bongoman. Dah, uswahilini burudani sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…