[h=3]1.Kuna wanaotajwa katika miziki kama watu maarufu, matajiri sana kumbe hakuna kitu ni wao kutaka wasikike na wala si tajiri kihivyo wao huwakatia marapa na waimbaji wenye njaa wawataje hawa ni kama vile akina Fikiri Madinda, Ustaadh Juma Namusoma, Betty Malongo, n.k).[/h] [h=3]2.Wengine hutajwa kwa hakika kutokana na misaada yao kunyanyua tasnia ya muziki kutoka kidogo wanachokipata kwa halali mfano Asha Baraka, Mh. Amos Makala n.k [/h] [h=3]3. Lakini wapo kweli ambao wanatumia fedha wanazopata kwa njia zisizo halali (chafu) kuwekeza katika bendi, kuwahonga Wasanii, Media na hata baadhi ya watumishi wa vyombo vya serikali Polisi n.k ili waonekane kuwa watu wema lakini ni hatari sana maana wana mitandao nchi nzima ya nje ya nchi za kiuhalifu hawa ndio akina Paa Msofe, Chief Kiumbe, Muzamili Katunzi n.k .[/h] [h=3]Kamwe Serikali wala Mahakama haiwezi kushindwa na hawa watu wadogo sana! Ni suala la uzembe wa hali ya juu wa vyombo vya usalama. Hawa watu wanajulikana na walitakiwa kuwa katika list ya WANTED kwenye wavuti ya Polisi siku nyingi. Simple question to IGP ni; Je ni kweli hawa watu hawajulikani kwa utapeli na wizi wao?[/h] [h=3]Jamani, haki za binadamu lazima pia ziendane na haki za Mungu; wakati fulani ni ngumu kwa binadamu kuthibitisha pasipo shaka uovu maana unafanyika kifichoni tena wakati ambao wengi wetu tumelala lakini Polisi na Usalama wa Taifa (kama taasisi) kamwe hawalali, je hawajui hawa watu ambao kwa kawaida huwa wanafuatwa na convoy ya vijana wengi kuwa ni hatari na wana athari hasi kwa vijana wengine nchini kwetu? Mbona Mungu ashatoa ushahidi wake siku nyingi juu ya watu hawa na haki ya Mungu haieshimiwi; kweli afadhali ya China!! [/h]
Ukweli husemwa:
Ningependa kabisa sheria ifuate mkondo wake kwa haki kwa sababu hakuna binadamu yeyote mwenye mamlaka ya kuondoa roho za binadamu wengine hapa duniani zaidi ya Mola.
Naomba kupingana na wewe katika huu mfano wa wachina ulioutoa.
Serikali ya uchina imepata shinikizo kubwa kutoka kwenye utawala wa Uingeleza kwa sababu huyo mfanyabiashara mwingeleza aliyeuwawa alikuwa ni mtu wa karibu sana na utawala wa Uingeleza kwa hiyo swala hilo likawa ni gumzo kuu katika mahusiano kati ya China na UK kidipromasia.
Pressure ilikuwa ni kubwa sana kwa chama na serikali ya uchina kwa sababu ushahidi ulikuwa wazi na hawakuwa na jinsi nyingine bali kumkamata na kumfungulia mashitaka.
Ukiangalia Nchi nyingi kubwa zilizokuwa na siasa za kijamaa kama Urusi, China, venezuera, mexico , nk bado zina tatizo ambalo ni rushwa inayozaa watu furani kujidai kuwa juu ya sheria kama anavyodaiwa Papa Msofe & co kwa kutumia pesa walizowaibia wananchi kuwanunua watawala.
na vipi kuhusu bo xilai mwenyewe? kwani nae alihusika ktk mauwaji? na mbona hajafikishwa mahakamani?
Ukweli husemwa:
Hii kesi imejaa michanganyiko kiasi ambacho siyo rahisi kujua nini hasa kinaendelea hasa ukichukulia kuwa China bado inaendesha mambo yake kwa usiri sana kiasi kwamba kilichobaki ni tetesi tu bila kujua undani wake.
Kwa ufahamu zaidi, Soma hii article ya gazeti Kwenye gazeti maarufu la waingeleza.
Neil Heywood scandal: Wang Lijun 'has been secretly put on trial'
Tujiulize marehemu MPAKANJIA alikua na biashara gani mpaka akasifika hivyo?
Mkuu kweli tupu Hilo Jamaa ni tapeli maarufu na mchangiaji mkubwa wa CCM.apart from kuzulumu viwanja na property za watu Wametapeli sana wazungu Gold na Copper cathode feki na wanamtandao mkubwa sana serikalini hususani polisi anzia IGP mpaka polisi wa kawaida kila wakipiga dili lazima wapelekewe mgao.utashangaa ukipeleka mashtaka polisi yaan ukiwa kaunta anajulishwa kuwa kuna mtu amekuja kukufungulia kesi,polisi wanakugeuzia kibao siyo osterbay wala central wote ni wachafu.halishamlizaga mzungu fulani alikuwa na uhusiano na mama mkapa dola laki saba.Kundi la kina Msofe,wapo kina Mzamil,Mtui,asanoh,kuna wacongo man na vijana wa kichaga wengi tu wakisaidiwa na Bernard Msekwa(meneja wa chaz baba) kuwa certificate feki,na mhaya mmoja anaitwa rutashobirwa lawyer feki anaofisi pale Azikiwe building hizi ndiyo dili zinazowaweka mjini.
mwingine alikuwa ANAITWA ELLY RAIS WA MBEZI huyu alikufa na ukimwi . ameambukiza h.i.v wanafunzi wengi sana wa secondary kuanzia na mbezi high school hadi tegeta.
mwingine alikuwa ANAITWA ELLY RAIS WA MBEZI huyu alikufa na ukimwi . ameambukiza h.i.v wanafunzi wengi sana wa secondary kuanzia na mbezi high school hadi tegeta.
Mkuu kweli tupu Hilo Jamaa ni tapeli maarufu na mchangiaji mkubwa wa CCM.apart from kuzulumu viwanja na property za watu Wametapeli sana wazungu Gold na Copper cathode feki na wanamtandao mkubwa sana serikalini hususani polisi anzia IGP mpaka polisi wa kawaida kila wakipiga dili lazima wapelekewe mgao.utashangaa ukipeleka mashtaka polisi yaan ukiwa kaunta anajulishwa kuwa kuna mtu amekuja kukufungulia kesi,polisi wanakugeuzia kibao siyo osterbay wala central wote ni wachafu.halishamlizaga mzungu fulani alikuwa na uhusiano na mama mkapa dola laki saba.Kundi la kina Msofe,wapo kina Mzamil,Mtui,asanoh,kuna wacongo man na vijana wa kichaga wengi tu wakisaidiwa na Bernard Msekwa(meneja wa chaz baba) kuwa certificate feki,na mhaya mmoja anaitwa rutashobirwa lawyer feki anaofisi pale Azikiwe building hizi ndiyo dili zinazowaweka mjini.
Ni miaka 6 kamili tangu uandike hii comment.Waungwana amini msiamini Msofe atatoka tu, kumbukeni mauaji ya wale wafanyabiashara waliouliwa kwa kupigwa risasi na kesi kuwangukia kina zombe!! Bado ilionyesha wakina msofe na mtanadao wake walihusika.. Kila siku wanawatapeli wazungu na dili zikiwa zinafanyika, police,usalama wa taifa,tra,na uhamiaji wanahusika, tena ni wachangiaji wakubwa wa vyama vya kisiasa ikiwemo ccm na nccr, timu ya yanga na nk. Kituo cha police oystabey kinahusika kwa asilimia mia, ndio maana dili nyingi hufanyikia maeneo ya kinondoni,.. Mzamil katunzi ofisi zake zinajulikana moja ipo mikocheni B plot Namba 549 chini kidogo ya rose garden upande wa kulia karibu na kwa Ridhiwan Kikwete, ofisi nyingine ya utapeli wa muzamil ipo Sinza mori nuyuma ya meeda nyumba ya gorofa moja imejengwa kwenye kiwanja alicho mtapeli mama mmoja ambaye anaishi nyuma ya hilo ghorofa la Muzamil, jengo linaitwa Muzasha house, na sasa hivi amebadilisha jina la kampuni yake badala ya Muzasha tours and Safaris inaitwa KM travel agency. Hiyo nyumba ya sinza ni plot No 888. Kule tegeta Muzamil anaeneo kubwa sana ambapo dilli zote za kontena za copa fake hufanyikia huko, kwa kifupi dili hizi zimekuwa zikinufaisha vyombo vya dola police, migration,tra, mkemia mkuu,wizara yanishati na madini na viongozi wengine wengi wakihusika moja kwa moja. Muzamil anawafanyakazi wasomi wengine wahaya wenzake wengine wachaga na wakongo, yani vijana wake wanatembelea magari ya kifahari na wanaishi maeneo ya beach na anawalipa vizuri sana kiasi kwamba hawawezi kumsaliti. Papaa msofe na jack pemba ndio mwalimu wa Muzamil katunzi, walifanya nae dili nyingi na wakamzulumu hata yeye na ndio muzamil akaamua kufanya kivyake na kufanikiwa sana kuliko walimu wake kwa kifupi msofe hafikii hata robo ya mali alizonazo muzamil. Kituo cha police oystabey kimekuwa kama cha muzamil kwani mwaka jana mkubwa wa kituo hicho alikuwa muhaya mwenzie. Ndugu zangu watanzania hawa jamaa hakuna dola ya kuwaweza nchi hii labda jwtz iingilie kati maana kama mkuu wa kaya kama mwenyekiti cha chama anakubali michango yao iingie ndani ya chama na kuipokea hii ni kuonyesha ni jinsi gani anawakubali na kuwaunga mkono. Msofe kama atapatikana na hatia basi atafungwa miaka isiyozidi mitatu.. Mwanasheria wa Muzamil anaitwa Benisho L. Mandele ofisi yake ipo msimbazi NK buildings, 3rd flour. Muzamil anapiga dili za mpaka usd ml 6. Amazo ni zaidi ya billion 6 kwa mkupuo mmoja na peasa hizi huzisafisha kutumia kampuni yake ya tours na car hire, pia hujenga majengo na kuzungushia uzio kwenye viwanja anavyovitapeli, na pesa nyingi hizi zimekuwa zikipitishwa na wizara ya mambo ya ndani enzi zile za masha masha alihusika moja kwa moja, pia mpiga dili mwingine anaehusika huwa tengenezea ramani ni makongoro mahanga. Wengine nitawataja baadaye kwani mtandao huu ni mkubwa sana naweza kunandika haya kwa kuwa najua hawana cha kufanya kwa kuwa wote wanahangaika na kesi sasa hivi maana mtaalamu wa utapeli wa muzamili katunzi prakash patel nae nakesi mahama ya kisutu lakini yupo nje kwa dhamana. Wadau mliopo dar fuatilieni hii kesi ya prakash patel ni muhindi anaetapili na muzamilia. Wakiwa wanafanya dili huyu muhindi hujifanya kama ndie boss halafu muzamil ndio mfanyakazi wake na wakati mwingine huchukua wafanyakazi wake huwa mabosi wake wakati wa dill. Nawasilisha.
alimtapeli huyo mzungu deal gani??Mkuu kweli tupu Hilo Jamaa ni tapeli maarufu na mchangiaji mkubwa wa CCM.apart from kuzulumu viwanja na property za watu Wametapeli sana wazungu Gold na Copper cathode feki na wanamtandao mkubwa sana serikalini hususani polisi anzia IGP mpaka polisi wa kawaida kila wakipiga dili lazima wapelekewe mgao.utashangaa ukipeleka mashtaka polisi yaan ukiwa kaunta anajulishwa kuwa kuna mtu amekuja kukufungulia kesi,polisi wanakugeuzia kibao siyo osterbay wala central wote ni wachafu.halishamlizaga mzungu fulani alikuwa na uhusiano na mama mkapa dola laki saba.Kundi la kina Msofe,wapo kina Mzamil,Mtui,asanoh,kuna wacongo man na vijana wa kichaga wengi tu wakisaidiwa na Bernard Msekwa(meneja wa chaz baba) kuwa certificate feki,na mhaya mmoja anaitwa rutashobirwa lawyer feki anaofisi pale Azikiwe building hizi ndiyo dili zinazowaweka mjini.
wanawaibia wazungu madini kivipi?Amen..lakini ofisi yake inaendelea kutumika kudhibitisha utapeli wa madini kwa wazungu.Inshort Serikali haiwezi kujivua hili coz hawa watu wanafahamika ila hawawachukuliwia hatua coz wanafaidika na utapeli huo.Siyo mahammer na mavogue yote unayoyaona mjini yapo kialali.Msofe ni mmoja tu kuna manyoka wengi tu wamezaliwa na wanaendeleza ya Masters wao.Kuna mpaka mama wa Ki israel ambaye inasemekana anauhusiano na Bwanamkubwa anapiga hizi dili