Papa: Unyanyasaji wa kingono Ufaransa aibu kwa Kanisa

Hakuna mtakatifu chini ya jua..kanisa limekiri na kuomba msamaha..mnataka nini sana kama sio unafiki...ukitaka kuwashambulia hao mapadri hakikisha na wewe huna dhambi..mana kipimo utakacho wa hukumu nawe ndio hicho hicho utakacho hukumiwa nacho.

#MaendeleoHayanaChama
Kwenye hili kanisa lipo sawa hakuna shida ,tatizo je hao waliofanya huo unyama wamechukuliwa hatua gani kama bado baadhi wapo hai?
 
Hakuna mtakatifu chini ya jua..kanisa limekiri na kuomba msamaha..mnataka nini sana kama sio unafiki...ukitaka kuwashambulia hao mapadri hakikisha na wewe huna dhambi..mana kipimo utakacho wa hukumu nawe ndio hicho hicho utakacho hukumiwa nacho.

#MaendeleoHayanaChama
Amina mtumishi
 
Na hiyo ni ufaransa pekee uchunguzi umefanyika visa ni vingi sana dunia kote.

Huyu Papa anajikosha tu tatizo linajulikana toka enzi, kwanini halishughulikiwi kimfumo?
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Hakuna mtakatifu chini ya jua..kanisa limekiri na kuomba msamaha..mnataka nini sana kama sio unafiki...ukitaka kuwashambulia hao mapadri hakikisha na wewe huna dhambi..mana kipimo utakacho wa hukumu nawe ndio hicho hicho utakacho hukumiwa nacho.

#MaendeleoHayanaChama
Si mara ya kwanza wala ya 4! Inakaaje hii kama kanisa takatifu la mitume?

Juzi watu wamelalamika kuhusu mazishi, kanisa halishiriki mpaka pesa za kutosha zitolewe, hili ni kanisa kweli??

Wanadai kanisa halifanyi huduma, Je ni kweli?
 
Ndiyo sababu waumini wengi wa dini hizi wanaachana nazo UNAFIKI ni mwingi sana na matendo maovu na ya kutisha yanafanywa na the so called Viongozi wa dini.

Si mara ya kwanza wala ya 4! Inakaaje hii kama kanisa takatifu la mitume?

Juzi watu wamelalamika kuhusu mazishi, kanisa halishiriki mpaka pesa za kutosha zitolewe, hili ni kanisa kweli??

Wanadai kanisa halifanyi huduma, Je ni kweli?
 
Nchi nyingi tu duniani huu udhalimu dhidi ya Watoto unafanyika kwa kiwango kikubwa sana.

Na hiyo ni ufaransa pekee uchunguzi umefanyika visa ni vingi sana dunia kote.

Huyu Papa anajikosha tu tatizo linajulikana toka enzi, kwanini halishughulikiwi kimfumo?
 
Unyanyasaji wa kingono, ubakaji, ndoa za jinsia moja, waumini wakike wanapigwa wembe mavuzi na viongozi wa kanisa,,,,dahhh aibu gani hii bandugu.
 
Mungu amekuumba umekamilika, halafu wewe kwa ujuaji wako eti unakomaa hutooa wala kuolewa, matokeo yake ndio hayo sasa, tamaa ya mwili inashinda hata Imani uliofunzwa cause kubaka mtoto Ina maana jamaa huwa wanazidiwa na tamaa...

Muslims kuoa wanawake wa 4 nj sawa kabisa, hata sisi Afrika wazee walikuwaga na wake hata 10, kanisa katoliki liruhusu mapadre wapate wake asee...

Mwanaume kuwa na mwanamke ni hitaji mihimu la kimwili,
 
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis ameelezea aibu iliyolikumba kanisa hilo pamoja na yeye mwenyewe kutokana na kiwango cha unyanyasaji wa kingono dhidi ya watoto uliofanywa na kanisa nchini Ufaransa.

Matamshi hayo ameyatoa mjini Vatican katika mahubiri yake ya kila Jumatano kwa waumini ambapo amezungumzia takriban watoto 330,000 wa Ufaransa ambao walinyanyaswa na mapadri na viongozi wengine wa kanisa hilo kuanzia miaka ya 1950.

Amesema idadi hiyo ni kubwa na kwamba anaelezea masikitiko yake na mateso ya kiwewe ambayo wahanga hao wamekuwa nayo.

Papa Francis amewataka maaskofu wote na viongozi wa kidini kuchukua hatua zote muhimu ili kuzuia vitendo kama hivyo visijirudie tena.

Aidha, papa pia amewataka Wakatoliki wa Ufaransa kuhakikisha kwamba kanisa linabaki kuwa nyumba salama kwa wote.
matamshi ya kutuliza umma ... tokea miaka nenda rudi... anashindwa nini kusema nimemfukuza kazi askofu
 
ila sheikh wawatu wamemdandia😂😂
ila hizi case za washkaji zilienda Hadi shirika la haki umoja wa mataifa na hawakufanya chochote kile.
Kukwepa maamuzi manake upo upande huo.
 
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis ameelezea aibu iliyolikumba kanisa hilo pamoja na yeye mwenyewe kutokana na kiwango cha unyanyasaji wa kingono dhidi ya watoto uliofanywa na kanisa nchini Ufaransa.

Matamshi hayo ameyatoa mjini Vatican katika mahubiri yake ya kila Jumatano kwa waumini ambapo amezungumzia takriban watoto 330,000 wa Ufaransa ambao walinyanyaswa na mapadri na viongozi wengine wa kanisa hilo kuanzia miaka ya 1950.

Amesema idadi hiyo ni kubwa na kwamba anaelezea masikitiko yake na mateso ya kiwewe ambayo wahanga hao wamekuwa nayo.

Papa Francis amewataka maaskofu wote na viongozi wa kidini kuchukua hatua zote muhimu ili kuzuia vitendo kama hivyo visijirudie tena.

Aidha, papa pia amewataka Wakatoliki wa Ufaransa kuhakikisha kwamba kanisa linabaki kuwa nyumba salama kwa wote.
Kwa hichi nilichokisoma hapa nina mashaka sana na dini iitwayo ukiristo
 
Back
Top Bottom