lendila
JF-Expert Member
- Sep 26, 2012
- 5,806
- 4,370
Papa Fransis akiwa ziarani nchini Mexico amewakemea viongozi wa dini wa Mexico kwa kukaa kimya na kutowakemea viongozi wa Serikali ya Mexico wanapowakosea wananchi wao.
Papa Fransis amesema viongozi wa dini nchini Mexico wamekuwa sehemu ya kulea maovu ya Serikali kwa kutoa kemea maovu yanayofanywa na Serikali.
Papa Fransis amesema viongozi wa dini nchini Mexico wamekuwa sehemu ya kulea maovu ya Serikali kwa kutoa kemea maovu yanayofanywa na Serikali.