miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,105
makabati mapya hayo ya kuzikia.Maana weng mnapata shida kuyajua mageneza yanafanania kabisa na majeneza
Majeneza ni yapi?
makabati mapya hayo ya kuzikia.Maana weng mnapata shida kuyajua mageneza yanafanania kabisa na majeneza
Nafikri atakuwa anaoanisha na umri aliosema mwenyezi MUNGU kuwa mwanadamu ataishi miaka mingapi hapa duniani. Sasa ukiangalia yeye sasa hivi ana miaka 77 hivyo ni wazi kabisa ameshavuka miaka iliyowekwa kuwa ni ya lazima, ndiyo maana anasema sasa hivi anaishi kwa neema ya MUNGU tu. Bila neema ya MUNGU alipaswa awe ameshatangulia mbele ya haki miaka 7 iliyopita.Uhai na Umauti vipo chini ya miliki ya Mwenyezi Mungu (SW), hakuna anaejua saa ngapi atakufa, siku gani atakufa, mwezi gani atakufa na mwaka gani atakufa. Asubuhi Njema.
Mageneza tu
Nachelea wakristu wa kisasa wasijesema ana pepo wa mauti...hawajui kuwa duniani tuko safarini na kwamba kwa kufa ndipo tunazaliwa katika uzima wa milele.
Uhai na Umauti vipo chini ya miliki ya Mwenyezi Mungu (SW), hakuna anaejua saa ngapi atakufa, siku gani atakufa, mwezi gani atakufa na mwaka gani atakufa. Asubuhi Njema.
Kuna maradhi yakikupata madaktari wanaweza kutabiri muda uliobakiza dunia ila hawawezi kusema muda utakaokufa wala tarehe.
Najaribu kutafakari kuhusu dhambi zangu na makosa yangu, siwezi kujivuna. Najua kwa sababu hali hii itadumu kwa muda mchache.
Kama sijakosea si anaitwa baba mtakatifu huyo, sasa dhambi anatoa wapi? Hahahahaha waabudu sanamu RC hapy mmebugi kwa kweli, Over!

Mtu akisema hana dhambi, anajidanganya mwenyewe, wala kweli haimo ndani yake...(1Yn 1:8)Najaribu kutafakari kuhusu dhambi zangu na makosa yangu, siwezi kujivuna. Najua kwa sababu hali hii itadumu kwa muda mchache.
Kama sijakosea si anaitwa baba mtakatifu huyo, sasa dhambi anatoa wapi? Hahahahaha waabudu sanamu RC hapy mmebugi kwa kweli, Over!