eden kimario JF-Expert Member Joined Jun 13, 2015 Posts 10,356 Reaction score 16,401 Oct 14, 2015 #1 Kiongozi wa kanisa katoliki duniani anatarajiwa kutua nchini Uganda mwezi ujao kwa ziara ya kitume nchini humo katika ziara hiyo pia papa Francis anatarajia kukutana pia na rais wa nchi hiyo yowery museveni
Kiongozi wa kanisa katoliki duniani anatarajiwa kutua nchini Uganda mwezi ujao kwa ziara ya kitume nchini humo katika ziara hiyo pia papa Francis anatarajia kukutana pia na rais wa nchi hiyo yowery museveni
SUPER PREDATOR JF-Expert Member Joined Apr 29, 2014 Posts 2,093 Reaction score 725 Oct 14, 2015 #2 Sawa aje tu anakaribishwa kwa mikono miwili.
respect wa boda JF-Expert Member Joined Nov 14, 2013 Posts 4,556 Reaction score 3,844 Oct 14, 2015 #3 Patakuwa hapatoshi siku hiyo, Hii inatukumbusha ujio wa Papa John Paul 2 Nchi Tanzania. Nchi zote za Africa Mashariki zilikuwa macho na makini sana kwa ujio ule. Karibu sana Baba Mtakatifu. BACK TANGANYIKA
Patakuwa hapatoshi siku hiyo, Hii inatukumbusha ujio wa Papa John Paul 2 Nchi Tanzania. Nchi zote za Africa Mashariki zilikuwa macho na makini sana kwa ujio ule. Karibu sana Baba Mtakatifu. BACK TANGANYIKA
O Otorong'ong'o Platinum Member Joined Aug 17, 2011 Posts 39,170 Reaction score 28,821 Oct 14, 2015 #4 Atatua Kenya pia ndipo ataenda Uganda..TZ hatuna bahati..
A Arie power JF-Expert Member Joined Jun 29, 2015 Posts 2,552 Reaction score 1,021 Oct 14, 2015 #5 Webaale nyo papa Francis.
K KAMANDA MKUBWA JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 288 Reaction score 78 Oct 14, 2015 #6 Karibu sana pope