Papa Francis akutana na sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum na Mohamed bin Zayed

Mwacheni pope wa watu akale bata Dubey angalau kidogo jamaani......
 
Msimamo wa Kiislamu juu ya ziara hii na kuruhusu kujengwa kanisa katika ardhi ya UAE ni kuwa amesema Mtume(SAW) kuwa:
"Hazikutani dini mbili(si ruhusa kuwepo dini zaidi ya Uislamu) katika jazillatul Arab"

Watawala vibaraka wa Wakoloni katika ardhi za Waislamu wanasahau maneno haya.
 
Kwa hiyo Iran Makanisa yanaruhusiwa?
 
Matini yake alhabib tafadhali.
Na maneno hayo yalimaanisha hilo usemalo?
Msimamo wa Kiislamu juu ya ziara hii na kuruhusu kujengwa kanisa katika ardhi ya UAE ni kuwa amesema Mtume(SAW) kuwa:
"Hazikutani dini mbili(si ruhusa kuwepo dini zaidi ya Uislamu) katika jazillatul Arab"

Watawala vibaraka wa Wakoloni katika ardhi za Waislamu wanasahau maneno haya.
 
Msimamo wa Kiislamu juu ya ziara hii na kuruhusu kujengwa kanisa katika ardhi ya UAE ni kuwa amesema Mtume(SAW) kuwa:
"Hazikutani dini mbili(si ruhusa kuwepo dini zaidi ya Uislamu) katika jazillatul Arab"

Watawala vibaraka wa Wakoloni katika ardhi za Waislamu wanasahau maneno haya.
Nilitegemea watu washangilie kwa kuwa amani imechukua mkonco wake
 
Back
Top Bottom