East African Eagle
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 3,759
- 2,209
Hvi na hawa mashehe huwa wanateuliwa na nani?
Natamani kukusomea alubadiri. Topic inaongelea askofu mashehe wameingiaje?
Hvi na hawa mashehe huwa wanateuliwa na nani?
Gwajima aliteuliwa na nani cheo chake?..
Huyu aliteuliwa na Mungu moja kwa moja, kwa duniani hakuna nayeweza kumteua.
Duh! Hivi tangu lini singida imeweza kuwa na jimbo katoliki?
Gwajima aliteuliwa na nani cheo chake?..
Duh! Hivi tangu lini singida imeweza kuwa na jimbo katoliki?
Gwajima aliteuliwa na nani cheo chake?..
Thibitisha...
Gwajima aliteuliwa na nani cheo chake?..
Self proclaimed Bishop!