Papa ateua askofu mpya wa Singida

Papa ateua askofu mpya wa Singida

Stanley.

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2011
Posts
659
Reaction score
302
Balozi wa vatican nchini Tanzania ametangaza kuwa baba mt. Francis amemteua padre Edward Mapunda kuwa askofu wa jimbo la Singida.

Mpaka wakati wa uteuzi wake alikuwa mhasibu wa jimbo la Singida.

Hongera wana Singida na kanisa la Tanzania.
 
Duh! Hivi tangu lini singida imeweza kuwa na jimbo katoliki?
 
Back
Top Bottom