Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,092
- 28,217
Duuh! Mpaka kufikia kutumia sawa ya mifupa ilikuaje mkuu... Na ukishawawekea huwa wa Wanakufa au vipichukua mabak ya chakula yawekee ile dawa ya mifupa inaitwa endosid( mtanisahihisha kama nimekosea spelling) hao panya week tuu hakuna hata mmoja na hua wanahama
Kwa hiyo anakuwa analisha panya sasa [emoji15] [emoji15] !hiyo yandoo za Plastc ni muafaka weka pumba changanya na dagaa utaona ukweli inafaa sana
chukua mabak ya chakula yawekee ile dawa ya mifupa inaitwa endosid( mtanisahihisha kama nimekosea spelling) hao panya week tuu hakuna hata mmoja na hua wanahama