Panya wa ajabu

mapipando

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
2,922
Reaction score
3,564
Umewahi kuona ama kuwaza kuwa panya anaweza kuwa namna alivyo huyu?
 
Kuna mmoja aliwahi kuua mjusi, then akaja kuleta Uzi humu akijitapa kwa jinsi alivyo pambana na mnyama mkali ndani, na picha akatupia kabisaaaa....
Wanaume wa Daslam, mnatabu sana... tehteehhh
 
Hahahahaha mkuu ila hii iko tofauti na ya huyo umsemae.
Huyu panya nilitaka nimwondoe uhai lakini nilipogundua yakuwa ni mlemavu nikaingiwa na roho ya huruma dhidi yake nikaamua kumtupia kwenye majani akapambane na hali yake.
 
Mkuu we utakua jirani yangu mkuu maana siku tatu zilizopita na mimi nimdaka home kwangu nilivojua ni mlemavu nikamtupa nje kumbe alihamia kwako
 
Nisikilizeni kwa makini.

Huyo ni panya mtu anajigeuza hivyo makusudi akijua hamuwezi kumuua.
Nyumba zenu zitaanza kukumbwa na mikosi msipojikinga.

Nitafuteni tulitatue hilo swala.
 
ww si jiwe kwan nyumba nyeupe kuna panya
 
Nisikilizeni kwa makini.

Huyo ni panya mtu anajigeuza hivyo makusudi akijua hamuwezi kumuua.
Nyumba zenu zitaanza kukumbwa na mikosi msipojikinga.

Nitafuteni tulitatue hilo swala.
Mkuu hayo mawazo wala hayatafanikiwa
 
Kuna mmoja aliwahi kuua mjusi, then akaja kuleta Uzi humu akijitapa kwa jinsi alivyo pambana na mnyama mkali ndani, na picha akatupia kabisaaaa....
Wanaume wa Daslam, mnatabu sana... tehteehhh
Alikua kicheche
Cc
bigmind
Hii hapa...
 
Nisikilizeni kwa makini.

Huyo ni panya mtu anajigeuza hivyo makusudi akijua hamuwezi kumuua.
Nyumba zenu zitaanza kukumbwa na mikosi msipojikinga.

Nitafuteni tulitatue hilo swala.
mzee baba ushaanza kumpokea majukumu Mshana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…