Mafunzo kutoka wapi? Wakati bajeti ya jkt wasiwasi.Ni kweli. Hili kundi hata sijui limeibukaje wakati Dar ilikuwa imenza kuwa tulivu. Serikali inapaswa kuwapa wananchi mafunzo ya kijeshi na kuwamilikisha silaha kwa ajili ya kujilinda na makundi ya kipuuzi kama hili la Panya Road.
alisalimika mtu hapa?NATAMANI SANA WAFIKE HUKU KWETUView attachment 420413
hii safi sana...huko ndiko kwa wanaume....wageche (wakate) kwa mapanga mpaka watie akili. nina hakika huko Ukonga mtu akipiga yowe watu wote huenda kumsaidia kupambana na wavamizi. safi sana!!!!!!!!!!!Huku moshi bar ndo wamejaa
Ila wakikamatwa wanachomwa moto,mwez huu wamechomwa moto wawili.mmoja alipigwa had amekata roho hapo hapo.
Sisi sio watu wa mchezo mchezo.
Hii imetulia sana.Mwaka 2001 kule Charambe kuna watoto walikua wanajiita Manchester walizingua sana kama panya road siku moja wakajichanganya wakamuua jamaa mmoja wale wanachimba mchanga(fukufuku) unaambiwa kundi la wachimba mchanga wakiwa na maserela(malori ya mchanga) wakaibuka Charambe nyumba hadi nyumba ambayo wale watoto wa Manchester wanaishi kikatembea kifinyo kwa watoto na wazazi wengi walipelekwa pale Kilwa road kituoni wengine wakakimbia na mpaka leo sidhani kama lile kundi lipo.
Safi sana. Hao ngedere sio wa kuhurumia hata kidogo. Mtu unatafuta kwa jasho,hawajui ulikumbana na mangapi halafu wao wanataka wachukue kiafsa?Huku moshi bar ndo wamejaa
Ila wakikamatwa wanachomwa moto,mwez huu wamechomwa moto wawili.mmoja alipigwa had amekata roho hapo hapo.
Sisi sio watu wa mchezo mchezo.
Sawa , lakini mi maoni ni kwamba serikali iwakusanye hawa vijana na kuwaweka kwenye academy na kupewa mafunzo ya kijeshi ... Maana inaonesha wana ujasiri wa hali ya juu..Ni kweli. Hili kundi hata sijui limeibukaje wakati Dar ilikuwa imenza kuwa tulivu. Serikali inapaswa kuwapa wananchi mafunzo ya kijeshi na kuwamilikisha silaha kwa ajili ya kujilinda na makundi ya kipuuzi kama hili la Panya Road.
Hili lingewezekana kwa nchi za kistaarabu kama vile ulaya lakini sio hapa Tanzania. Huku Tanzania mtu ukiwa mbunifu labda wa kutengeneza magobole, unafungwa jela badala ya kuendelezwa.Sawa , lakini mi maoni ni kwamba serikali iwakusanye hawa vijana na kuwaweka kwenye academy na kupewa mafunzo ya kijeshi ... Maana inaonesha wana ujasiri wa hali ya juu..
Mkuu hili linawezekana kwa nchi za wenzetu...hapa kwetu ukiwa mbunifu, jela inakuhusu. Nakumbuka kuna wabunifu wengi waliovumbua utengenezaji wa zana za kivita kama magobole na mitambo mingine ambao wamefungwa jela badala ya kuendelezwa.Sawa , lakini mi maoni ni kwamba serikali iwakusanye hawa vijana na kuwaweka kwenye academy na kupewa mafunzo ya kijeshi ... Maana inaonesha wana ujasiri wa hali ya juu..
Mkuu, sifa ya kwanza ya mwanajeshi ni nidhamu na maadili,mpaka hapo hao panya pori wamefeli. Labda watafutiwe utaratibu maalum wa kuwaweka kwenye kambi maalum za kuwafunza uraia na mafunzo ya ujasiriamali na kujitegemea na kisha kuandaliwa mazingira ya kujiunga na accademy za michezo, kambi za ujasiriamali chini ya usimamizi maalum kabla ya kuachiwa waendelee na maisha ya uraiani.Sawa , lakini mi maoni ni kwamba serikali iwakusanye hawa vijana na kuwaweka kwenye academy na kupewa mafunzo ya kijeshi ... Maana inaonesha wana ujasiri wa hali ya juu..