Ni kweli. Hili kundi hata sijui limeibukaje wakati Dar ilikuwa imenza kuwa tulivu. Serikali inapaswa kuwapa wananchi mafunzo ya kijeshi na kuwamilikisha silaha kwa ajili ya kujilinda na makundi ya kipuuzi kama hili la Panya Road.Mzunguko mdogo wa hela mitaani ni moja ya kichocheo cha matukio haya
mkuu, lakini nadhani pia tangu polisi walipoacha kukaa vituoni usiku kundi hili limepata kasi ya kuendelea kuwatesa raia na kuwanyima raha kabisa. serikali inapaswa kufikiria upya uamuzi wake wa kufunga vituo ili polisi wachache waliopo washirikiane na wananchi kutokomeza kundi hili la kigaidi.Wanavamia Mitaa ya walalahoi tu, waje huku Mitaa ya Miande waone cha moto
Mtawachoma sana lakini hamtawamaliza.Chomeni moto hao mbwa,mnawaonea huruma ili iweje?
Hapana Mkuu. Kile kituo kipo wazi masaa 24. Jirani ya hicho kituo kuna Bar Maarufu inaitwa Chamazi Pub. Fanya hima kufikisha taarifa ili hao wahuni washughulikiweChamazi kuna kituo cha polisi kidogo ambacho hufungwa nyakati za usiku na polisi kurejea majumbani mwao.
Si lazima kuwamaliza ila watakaobaki watashika adabuMtawachoma sana lakini hamtawamaliza.
Mzunguko mdogo wa hela mitaani ni moja ya kichocheo cha matukio haya.
Kwa mtazamo wangu,hawa ni vijana waliokata tamaa ya maisha na wako tayari kwa lolote kwani wanaona hawana cha kupoteza.
Kwa staili Usalama wetu ni mdogo sana.Chamazi kuna kituo cha polisi kidogo ambacho hufungwa nyakati za usiku na polisi kurejea majumbani mwao.