Panya road Wametikisa huko Mbagala Saku

Panya road Wametikisa huko Mbagala Saku

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,556
Mliopo pande hizo hebu tupeni feedback nimemsikia mdada hapa akipigiwa simu na mtu wa huko akimwambia jana Jumapili jioni palikuwa hapatoshi.
 
Wanaume wa Dar bana ukiwaskia wakisimulia panya rodi utafikri wanaizungumzia Alshabaab ukifanikiwa kuwaona hao panyarodi wenyewe ni watoto wa miaka 13- 19 mkubwa sana 22
😂 😂 😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom