Panga pangua ya machinga Buhongwa

B'REAL

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
4,575
Reaction score
3,258
Habari wanajavini, leo ilikuwa siku rasmi ya kuwapanga machinga Mwanza, wilaya ya Nyamagana kata ya Buhongwa.

Muitikio ulikuwa mkubwa wa wamachinga kufika mapema sana.


 
Hatimayee zoezi lika Anza rasmi, saa sita kasoro kugaiwa vizimbaa wamachinga wa nguo, viatu, mabegi na urembo kwa siku ya leo, na kesho watafata wajasiria Mali wa mboga mbogaa na matunda, vinywaji na mpesa. Na hivi ndo vizimbaa katika eneo la dampo Buhongwa.

 
Nimependa mpangilio, naomba wanasiasa wasiingilie utaratibu huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…