Kwenye bank zetu ukitaka pesa itakubidi utumie japo masaa mawili mpaka matatu, labda ufike mapema sana ili uwe wa kwanza, tiba ya foleni bank ni hii...
Huna haja ya kusimama mpaka viatu vyako foleni yake ifike. Haya nayo ni maendeleo kwa wwnzetu,hapa Home mabenchi ya kukulia hakuna watu wanadondoka kwenye foleni.
Hiyo safi sana..... Imenikumbusha enzi za mwalimu tulikuwa tunapanga mawe kwenye foleni ya maji... Ukichota maji wakati unayapeleka home unaacha folrni ya mawe ukirudi unakuta ishasogea!!!!!