Pandora box (Sanduku la Pandora)

Hizi mada za kucopy na kupaste in Swahili mi ngumu sana kupresent, mkuu.ungeisoma ukaielewa ndipo ukaja kwa kiswahili chako. Yaani ni kama umetumia google translator. Mpangilio wa mawazo na misamiati inapishana. imeboa kichizi yaani.
 
Mbwa nyie someni muishie zenu, wengine hata hyo pandora box walikua hawaijui halafu wanajifanya midomo mirefu mbwa nyie , kwanza hakuna aliyewaita stupid




Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] binamu bwana
 
Mbwa nyie someni muishie zenu, wengine hata hyo pandora box walikua hawaijui halafu wanajifanya midomo mirefu mbwa nyie , kwanza hakuna aliyewaita stupid




Sent from my iPhone using JamiiForums

Nani asiijue pandora box kwenye greek mythology?
 
Ukitaka kujua stori za Pandora box na Kilichomtokea Binti Mzuri Medusa,Basi tafuta Series moja inaitwa ATLANTIS. Ukifika Season 1 Epsode 08 utaone jinsi Hilo box lilikuwa limefichwa kwenye UNGER-WORLD(WORLD OF THE DEAD),Lakini Jayson na Hercules walienda kulitafuta na kulipata wakaja nalo Duniani. Hii ilitokea baada ya Jamaa Mmoja alipomteka Medusa ambaye Ni Demu wake na Hercules.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…