Pandora box (Sanduku la Pandora)

Google Translate bwana, inafanya watu wanakuwa wajinga jinga.
 
Kweli google inatafsiri kijanjajanja sana. Inaharibu kiswahili chetu[emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesoma nikarudia zaidi ya mara tano ila nimetoka kapa. Itakuwa sihusiki na hili sanduku la pandora.
 
Mbwa nyie someni muishie zenu, wengine hata hyo pandora box walikua hawaijui halafu wanajifanya midomo mirefu mbwa nyie , kwanza hakuna aliyewaita stupid




Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] MADARASA YA MEMKWA BADO KUMBE BADO YANAENDELEA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbwa nyie someni muishie zenu, wengine hata hyo pandora box walikua hawaijui halafu wanajifanya midomo mirefu mbwa nyie , kwanza hakuna aliyewaita stupid




Sent from my iPhone using JamiiForums
Sasa we kwa akili zako unazani umeandika uzi huo umewatag watu kwamba wengine wasione, yani watu wamekuchallenge kidogo tu tayari wameshapata hasira zako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…