mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,722
Makonda ninamkubali kwa...
1: Ni kiongozi anaethubutu...
2: Mbunifu katika kazi zake...Mfano wale vijana Mawakili dsm
3:Jasiri linapokuja suala la kile anachokiamini
4:Hawezi kukaa ofisini mwezi mzima na akaona maisha ni sawa kama wakuu wengine hata miezi inapita hujawaona, lazima aibuke na kitu
5:Ni mtu ambaye ukimtengeneza anaweza kuwa kiongozi mkubwa sio tu tanzania bali afrika nzima
Simkubali kwa
1:Kutokuonyesha ushirikiano ktk suala la vyeti
2:Inaonekana pia ni mtu ambae bado emotional stamina haiko vzr, uwezo wa kuhimili kukosolewa au kupingwa hasa na mtu aliyechini yake au popote/Ngozi laini nadhani ni matokeo ya tuhuma nyingi kwake...
Ukinipa Makonda na mtu mbunge yoyote wa Upinzani ukiondoa Zitto na Mbowe kidogo, nitamchukua makonda maana ni mtu ambaye anaquality ambazo zikikomaa anafaa kuliko watu wanaopiga kelele ila hawatendi chochote...
Makonda wa sasa angekuwa Bora zaidi kama angekuwa ni Yule Bashite (Kama kweli), Maana angekuwa level za wakina Kawawa,Zuma,Waziri mkuu mmoja mstaafu wa Australia (Autodiduct) au Comred Zhao Ziyang