Pancha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pancha

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mkimbizi, May 10, 2011.

 1. Mkimbizi

  Mkimbizi JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2011
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 222
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mke mmoja alimkuta mumewe ameweka uume kwenye beseni la maji; akataharuki na kumuuliza

  Mke; mbona umeweka uume wako kwenye beseni?
  Mume; Naangalia pancha maana leo siku ya pili haujasimama
   
 2. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Mkimbizi! Nawe unaokotaga upupu ambao hauna elimisho yoyote! Nimepita tu!!
   
 3. Mkimbizi

  Mkimbizi JF-Expert Member

  #3
  May 10, 2011
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 222
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Upupu umekuwasha? Hahaha! Huku mahala pa kuvunjika mbavu mjomba! Elimisho kuna jukwaa fulani hivi lipo, ukinikuta kule, ni lecturer
   
 4. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #4
  May 10, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mara mbili watu wameishaipost hiyo jokes..anyway imetulia
   
 5. Mkimbizi

  Mkimbizi JF-Expert Member

  #5
  May 10, 2011
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 222
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Thanks mkuu kwa kuniambia. Mimi ndio nimesikia leo nikaona ni share na wanajf,,,
   
 6. Safina

  Safina JF-Expert Member

  #6
  May 11, 2011
  Joined: Jun 18, 2009
  Messages: 498
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umefanya viruzi, sasa beseni lilimsaidia kuziba hiyo pancha? Sijui na yeye atakuwa amechomwa na nini mpaka hiyo kitu ikapata pancha.
   
 7. Wa Nyumbani

  Wa Nyumbani JF-Expert Member

  #7
  May 11, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 432
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Baaabu kubwaaaa!
   
Loading...