Wale jamaa kule NECTA sijui huwa wanasahihishaje hiyo mitihani..
Mi mpka leo huwa sielewi nilipataje D ya uchumi.. Ihali mock nilipata A na nikawa na one ya 6...Necta nikawa naiwinda one ya 3 au 4..maana kwenye hesabu na Geog uhakika wa A ulikuwa asilimia mia.
Mi nadhan huwa wanafanya tu kukomoa, somo lionekane gumu lakini kiuhalisia sio hivyo, inawezekana ikawa ngumu kupata A ya geog lakini sio uchumi.