Tronics guru JF-Expert Member Joined May 19, 2016 Posts 10,446 Reaction score 8,085 Jun 29, 2017 #1 Wakubwa kwema!! Kuna tetesi nimezinyaka kuwa ifunda tech inafungua tareh 30 july 2017 hiv kuna ukweli hapa? Najua wapo walimu hapa tujuzane
Wakubwa kwema!! Kuna tetesi nimezinyaka kuwa ifunda tech inafungua tareh 30 july 2017 hiv kuna ukweli hapa? Najua wapo walimu hapa tujuzane
Losser Bad JF-Expert Member Joined Aug 9, 2016 Posts 583 Reaction score 1,348 Jun 29, 2017 #2 Huo hapo kulia ni Marehemu Vaginga( R.I.P) atakumbukwa sana huyo mzee. Mwaka mmoja baada ya kustaafu alikufa gafla tu bafuni akiwa nyumbani kwake Tanga. Baada ya hapo Ifunda imekuwa shule ya ajabu ajabu sana.
Huo hapo kulia ni Marehemu Vaginga( R.I.P) atakumbukwa sana huyo mzee. Mwaka mmoja baada ya kustaafu alikufa gafla tu bafuni akiwa nyumbani kwake Tanga. Baada ya hapo Ifunda imekuwa shule ya ajabu ajabu sana.
mpatto JF-Expert Member Joined Apr 28, 2017 Posts 766 Reaction score 1,038 Jun 29, 2017 #3 Lisemwalo lipo mkuu...