Habari
nauza Pampers nzuri sana za watoto za kufua. Zipo kama zinavoonekana kwenye picha,muonekano mzuri.Pampers moja ni Tsh 22,000/= inakuwa moja pamoja na nappy(insert) yake moja.
Ukihitaji nappy(insert) ya ziada pia zipo moja Tsh 10,000/= Pampers hizi ni nzuri sana kiafya hazina kemikali kabisa. Zimetengenezwa kwa kitamba laini sana, na ni (waterproof) hii inazuia mkojo kupenyeza nje na pia inasaidia sana katika kumuweka mtoto akiwa mkavu muda wote.
Pampers hizi ni salama sana kwa ngozi ya mtoto, hazileti miwasho,na hata kwa mtoto mwenye (sensitive skin) hizi ndio Pampers sahihi kabisa kutumia, hazimletei mtoto joto la kumkosesha raha ya kucheza,mtoto anakuwa huru sana muda wote. Pampers hizi ni free size (3-15kgs) mtoto anavaa tangu kuzaliwa mpaka atakapoweza kujitegemea kujisaidia mwenyewe.
Zina vifungo vya kuongeza na kupunguza ukubwa kama inavoonekana katika picha. Pampers hizi zinadumu muda mrefu sana mpaka miaka 3 na zaidi. Mtoto atavaa mpaka atamuachia mdogo wake.Karibu ubane matumizi na kuokoa garama za kununua Pampers kila mwezi. Na kamwe hautajutia kununua Pampers hizi.
Nipo Sanawari-Arusha. Popote natuma kwa uaminifu sana.PLEASE SERIOUS BUYER ONLY PIGA AU WHATSAAP 0765554391.
Dar pia zinapatikana kwa Rehema Issae
Kwa namba (0654 241 308), (0756 200 896)