Pamoja na magumu tunayopitia kwa Hangaya lakini ni bora Hangaya kuliko Mwendazake

Pamoja na magumu tunayopitia kwa Hangaya lakini ni bora Hangaya kuliko Mwendazake

Mkuu nimekwambia utaje kundi
lolote katika jamii ambalo wanasikitishwa au
wanamkubuka yule dhalimu,
achana na mambo sijui ya
wanyonge kumbuka siku zote
masikini huwa hawawapendi
watu wenye akili au matajiri.
Acha kuzunguka na mambo
sijui ya nyomi wakati wengi
wao walienda kuhakikisha
kama ni kwelu yule dhalimu
kafa. Makundi namaanisha
kama Wakulima, wafanyakazi
serikalini au sekta binafsi,
wafanyabiashara, wavuvi,
wanasiasa au Individuals kama
Mh. Lissu au Mo
Aisee! Mfano wamachinga wale ni katika mfano wa wanyonge ninao wazungumzia ambao Samia aliwavunjia mabanda yao.

Mkuu watu walipoteza maisha kwenye harakati za kuaga mwili wa Magufuli ila wewe unasema et walienda kuhakikisha kama kweli kafa sasa hiyo akili au matope? Na ilikuwa kipindi cha corona yani akili yako inakwambia kabisa kwamba mtu ajihatarishe kupata maambukizi ya corona kisa tu kujua kama kweli Magufuli kafa?
 
Yaani kwenye mambo muhimu
wewe unazungumzia mambo ya wachuuzi? Acha kujisifua
umasikini mkuu, huyo alikuwa
anawaita wanyonge na nyie
mnavimba kichwa kumbe
wenzenu anapiga pesa. Grow
up dude
Haya sasa hivi hatuitwi wanyonge na matokeo ndio haya matozo kila kukicha yani mtu akilala akiamka anakuja na wazo la kodi mpya tena inayotuumiza sie wa hali ya chini. Haya tuitane matajiri sio wanyonge ndio maana Samia anatulinganisha na nchi kama Marekani.
 
So unataka kuishi bila kulipa kodi?
 
Watu wanamlia taiming 2025 huyo Hangaya wako...... Walahi kwa mizaha hii hatoboi.
Mama lishe kashawazingua...
Machinga ndo hawataki hata kumsikia .......
Sasa anawatibua wafanya kazi.....
Tozo za kwenye simu hajaridhika nazo ...sasa kahamia miamala ya benki ...

Mikelele ya 'Anaupiga mwingi' inampoteza sasa... Nasema Walahi hatotoboa.
upige kura usipige mama anapita bila shida tena wala sio kwa uchaguzi kama ule wa mwendazake wa dhuluma
 
Mkuu usipingane na ukweli kwamba kwa sasa watu wanapitia kipindi kigumu mno kuliko hata miaka ile ya Magu.

Wanaonufaika kwa sasa ni wachache ila wanaosurubika ni wengi kupita maelezo.

Bila connection mambo hayaendi.
 
upige kura usipige mama
anapita bila shida tena wala sio kwa uchaguzi kama ule wa
mwendazake wa dhuluma
Kwani lini ccm waliwahi kushinda kihalali? Mwambie Samia ahame chama akagombee CHAUMA na ubwabwa agae bure halafu uone kama atashinda.
 
Pamoja na magumu tunayopitia kwa Hangaya lakini ni bora Hangaya kuliko Mwendazake

Hangaya ni afadhali mara milioni kuliko yule dikteta

Sitaki kukumbuka mateso ya yule mwendazake

Utawala ulonuka damu na machozi na manung'uniko, maiti kila mahali, utekaji na manyanyaso ya kila aina kipindi kile maisha yalikua magumu sana watumishi waliishi kama mashetani wa kuzimu

Hivi mmesahau kina Bashite, Sabaya, na Kina Chalamila au mmesahau?Hivi mnadhani sisi ni wajinga kiasi kile?Kulikua na nuru gani awamu ya tano?Bora hata huyu anakosolewa anakosoka japo ni mgumu kuelewa na kutatua changamoto,angalau hata huyu tunaona ajira portal kule sio haba wacheni kabisa....

Sitaki kukumbuka kipindi kile hali ilikua mbaya kodi inakusanywa kwa task force na makesi ya hovyo uhujumu uchumi,kupigwa risasi kubambikiziwa makesi ya kipuuzi na kufilisiwa yalikua ndo maisha yetu, yule baba sidhani kama alikua mtanzania

Hakua na roho ya kibinadamu kabisa, Hangaya mama popote ulipo na wewe hueleweki ila wewe ni mara bilioni ya yule mtangulizi wako, bora niteseke awamu hii tu lakini sio kile kipindi cha yule dikteta, sasahivi hata mafuta yamepanda lakini naona bado sheli zinajaa sasa imagine ingelitokea kipindi cha yule dikteta na hela haikuwepo mtaani si ndio tungesota ?

Acheni mungu aitwe mungu, kama ni shimo tuliziba tulizibe kweli kweli asije ikatokea tukapata kama yule

No!!!Huyu hangaya tunamface lakini ni heri kuliko yule alopita

Hivi mnatoa wapi ujasiri wa kumkumbuka kwa kuandika R.I.P JPM? unafiki ni mbaya sana
Hahahahaha...mtasemaa yoteee..lakin ukwel unaujua ww mwenyewee..unga juu..mafutaa kupikia juu...diesel juu..nauli juu...internet juu..yaan awamu hii maji utaitaa mna..shwainn kabisaa nyieee...na bado...hangayaa shikilia hapo hapo.hawa wapuuzi waisome number...
 
Kwani lini ccm waliwahi kushinda kihalali? Mwambie Samia ahame chama akagombee CHAUMA na ubwabwa agae bure halafu uone kama atashinda.
ndio mana nikasema lazima atashinda hiyo yako pia ikiwa sababu moja wapo
 
Ukishaona unaambiwa afadhali basi gundua unapwaya.....

JPM might not have been a good leader (ukali, diplomasia ndogo n.k.) ila alikuwa mtendaji na mfuatiliaji...

Sasa tukija huku bora ni-reserve my judgment..., lakini I think Things are Falling Apart... ; By the way Tanzanians deserves better na sio Afadhali..., na tutaondokana na huku kubahatisha kwa kutokutegemea individuals bali Taasisi na collectiviness...
 
Lini ulimwona Magufuli akipanda ndege kwenda nje kuomba misaada na mikopo kama Samia?kama mikopo mbona alikataa mikopo ya covid wakati IFM walipotaka kumkopa akawambia me ninataka mfute madeni yenu sio mnipe mikopo.Samia mwaka mmoja kaisha fikisha tilion 10 pamoja na tozo kibao,na akuna kinachofanyika,maisha yanazidi kuwa magumu miradi yote imesimama.Hauwezi kumfananisha magufuli na utopolo Samia.
JPM alkopa kimya kimya hujui
 
JPM alkopa kimya kimya hujui
Wewe ni wakupuuzwa tu kuna mzungu anayeweza kukukopesha pesa kimyia kimyia pasipo makamera na kwenda kuwapigia magoti kama afanyavyo Samia? Kama wangelikuwa wanakubali kukopesha kimyia kimyia hata Samia angelikopa hivyo hivyo akuna serikali inayopenda Siri zake zijulikane
 
Nami nakupuuza tu sababu hujui kitu
 
Mfumuko wa bei haukusababishwa na mama. Kwa mfano Mchele na Unga ni sababu ya kukosekana mvua za kutosha. Acheni chuki za ovyo kwani nani kawakataza kulima yenu.

Kufikiria mfumuko wa bei ya Mahindi na Mpunga kumesababishwa na Mh. Raisi Samia ni ujinga uliopitiliza. Kilimo chetu kinategemea mvua na hazikunyesha vya kutosha mama anahusishwaje? Nampongeza mama kumruhusu mkulima auze mazao yake kwa a set aka na pia kupunguza bei ya mbolea. Watanzania kila mmoja ajaribu kulima lau kidogo akivuna ale na wanawe. Hongera Mh. Raisi.
 
Kuna watu wamezoea kulaumu tu kila kitu Rais hawaoni hata uhalisia
 
Watu wanamlia taiming 2025 huyo Hangaya wako...... Walahi kwa mizaha hii hatoboi.
Mama lishe kashawazingua...
Machinga ndo hawataki hata kumsikia .......
Sasa anawatibua wafanya kazi.....
Tozo za kwenye simu hajaridhika nazo ...sasa kahamia miamala ya benki ...

Mikelele ya 'Anaupiga mwingi' inampoteza sasa... Nasema Walahi hatotoboa.
True
 
Back
Top Bottom