Pamoja na kupaji lakini pia Kuna kasoro

Pamoja na kupaji lakini pia Kuna kasoro

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,456
Reaction score
872,092
1409476566939.jpg
 
Huyu ndo mwinzi wa kimataifa ha!ha!ha!
 
Kuna mwana falsafa mmoja alisema(Any art work is never complet) HAKUNA KAZI YA SANAA ILIYO KAMILIKA.
wewe ulitaka afanywenini?
mpe ushauri ili awe hana kasoro.
 
Kuna mwana falsafa mmoja alisema(Any art work is never complet) HAKUNA KAZI YA SANAA ILIYO KAMILIKA.
wewe ulitaka afanywenini?
mpe ushauri ili awe hana kasoro.
Novida nina uhakika 100% hukuelewa hii post hata hiyo sioni shida kwa kuwa hata mtihani shuleni uwe rahisi kiasi gani lazima kuwe na failures
 
Last edited by a moderator:
Novida nina uhakika 100% hukuelewa hii post hata hiyo sioni shida kwa kuwa hata mtihani shuleni uwe rahisi kiasi gani lazima kuwe na failures

Pia mwanafalsafa mwingine akasema"Ukiona watu wanagombana/kurumbana kwakitu chenye faida kwao, hao uwezo wao wa kufikiri upo juu. Pia ukiona watu wanagombana/kurumbana kwakitu kisichokua na faida kwao,Hao uwezo wao wa kufikiri ni hafifu.
 
Last edited by a moderator:
Hivi huyu kinyambe ana demu kweli maana mhhh mambo yake huwa ananiachaga hoi sana.............
 
Back
Top Bottom