Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 234
naunga mkono hoja bila kuirekebisha wala kuitoa kasoro kama ilivyo mibunge ya CCmabwepandeWaandishi wengi njaa hata hili la Mwangosi wanalishikia bango wakitafuta namna ya kupata chochote, sio kwamba ni wazalendo sana!!!
Njaa mbaya sana mkuuwangu....bado tunasafari ndefu kuipata tz tunayoitaka
Ongea ya kwako hapo kwenye red nenda jukwaa la dini
Kuna umuhimu wa kuanzisha jukwaa lingine lililo huru, au kuwaondoa viongozi wa sasa. Siku ya kwenda kuwang'oa tunaomba polisi wasipeleke vikosi kuwalinda kama vile walivyofanya kwa mufti!
ongea ya kwako hapo kwenye red nenda jukwaa la dini
ongea ya kwako hapo kwenye red nenda jukwaa la dini
haswaa......Waandishi wengi njaa hata hili la Mwangosi wanalishikia bango wakitafuta namna ya kupata chochote, sio kwamba ni wazalendo sana!!!
siyo njaa bali ni ile hali ya taasisi ya ushushushu aka usalama wa taifa/ccm kujipenyeza kwenye kila sekta, mimi binafsi namkumbuka home boy wangu alivyokuwa mpambanaji wa nguvu kupinga ccm na uovu wake wakati tupo wanafunzi chuo kikuu, baada ya chuo jamaa alianza kupanda vyeo chap chap na hivi ninavyo andika ni mbunge wa ccm kwenye bunge la JMT. Siyo kwamba waandishi wanasalitiana, hapana, miongoni mwao wamo mashushushu wanaowajibika kwanza kwa serkali ya ccm na kuilinda kwa kila hali na hii ndo ilivyo kwa kila taasisi ndani ya JMT, there are shushushu operatives in every institution in this country. A total system clean up is the only answer to this evil!!!!!