Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,501
- 6,645
Chai ya baridiMbwa,niliganda,aling'ata makalio kunishtua nikakomaa kwa kuyabana sana...alivyoona sishtuki akaanza kuondoka....mbwa ukionyesha woga au kukimbia ndiyo hujaa kichwaπ
Nyoka,nipo busy kula msosi kwa sebule,huyo anaingia kwa madaha...kabla hajaniwahi nikamuwahi kwa kumwacha aendelee kuingia chumbani afu mie nikaanza kumnyatia kwa nyuma...ni chap...nikabana shingo...vingirisha mkono ..mi nikakomaa kukaba....tutumka ....mi nimo...nikamrushia nje....kushuka chini ashalewa... Mie bila kumchelewesha nikampa fimbo ya kichwa...kimya! π
Hii fix sasaMbwa,niliganda,aling'ata makalio kunishtua nikakomaa kwa kuyabana sana...alivyoona sishtuki akaanza kuondoka....mbwa ukionyesha woga au kukimbia ndiyo hujaa kichwaπ
Nyoka,nipo busy kula msosi kwa sebule,huyo anaingia kwa madaha...kabla hajaniwahi nikamuwahi kwa kumwacha aendelee kuingia chumbani afu mie nikaanza kumnyatia kwa nyuma...ni chap...nikabana shingo...vingirisha mkono ..mi nikakomaa kukaba....tutumka ....mi nimo...nikamrushia nje....kushuka chini ashalewa... Mie bila kumchelewesha nikampa fimbo ya kichwa...kimya! π
βοΈChai ya baridi
βοΈHii fix sasa
π€£π€£π€£ Nzito kunyanyuaπNilikimbizwa na mnyama wa kutisha ndotoni niliteseka sana.
Ilikua nikiinua miguu inakua mizito hadi jasho likantoka
View attachment 3239236
πβοΈ
Ila utoto laha sana.Mbwa,niliganda,aling'ata makalio kunishtua nikakomaa kwa kuyabana sana...alivyoona sishtuki akaanza kuondoka....mbwa ukionyesha woga au kukimbia ndiyo hujaa kichwaπ
Nyoka,nipo busy kula msosi kwa sebule,huyo anaingia kwa madaha...kabla hajaniwahi nikamuwahi kwa kumwacha aendelee kuingia chumbani afu mie nikaanza kumnyatia kwa nyuma...ni chap...nikabana shingo...vingirisha mkono ..mi nikakomaa kukaba....tutumka ....mi nimo...nikamrushia nje....kushuka chini ashalewa... Mie bila kumchelewesha nikampa fimbo ya kichwa...kimya! π
Hukulala ukiwa umekunja miguu kweli?Nilikimbizwa na mnyama wa kutisha ndotoni niliteseka sana.
Ilikua nikiinua miguu inakua mizito hadi jasho likantoka
View attachment 3239236
Cc Mahondaw
π€£π€£π€Ila utoto laha sana.
Kuleni maisha vijana.
Hehehealing'ata makalio
HeheheChai ya baridi
HeheheNilikimbizwa na mnyama wa kutisha ndotoni niliteseka sana.
Ilikua nikiinua miguu inakua mizito hadi jasho likantoka
View attachment 3239236
Cc Mahondaw
Nyinyi ndio mlio fanya ad akafuta ushuhuda wakeπππHii fix sasa
Ili mradi mateso tu sio πππNilikimbizwa na mnyama wa kutisha ndotoni niliteseka sana.
Ilikua nikiinua miguu inakua mizito hadi jasho likantoka
View attachment 3239236
Cc Mahondaw
... kwenye situations kama hizo mimi huwa nageuka 'SUPERMAN' na kuanza kupaa juu kwa juu !Nilikimbizwa na mnyama wa kutisha ndotoni niliteseka sana.
Ilikua nikiinua miguu inakua mizito hadi jasho likantoka
View attachment 3239236
Cc Mahondaw
Sio mara zote unaweza kupaa... kwenye situations kama hizo mimi huwa nageuka 'SUPERMAN' na kuanza kupaa juu kwa juu !
π€£