Waziri wa alimu alisema "busara itumike". Kwangu mimi hii nimetafsiri kama hata yeye amekosa jibu sahihi na ndio sababu hajatoa muongozo kwenye hili.
Sasa mimi kama mzazi nilicho amuani, hiyo tarehe 28 wanangu wataenda shuleni ili tarehe 29 aanze kuendelea na masomo.
Hili kwangu nadhani ninapaswa kupima thamani ya pesa na elimu bora kwa wanangu, mwisho nimeona hili ni swala la kimaamuzi ama kusuka au kunyoa.