tobycow Senior Member Joined Apr 12, 2011 Posts 129 Reaction score 13 Feb 7, 2012 #1 jamaa mmoja alikuwa ana siku nying haendagi kanisan.cku moja akaamua kwenda maombi.kwa bahati mbaya akachaguliwa aanzishe pambio jamaa akaanza'BWANA AMETUFUNUA HALELUYA watu:aaaaah wewe kakufunua mwenyewe
jamaa mmoja alikuwa ana siku nying haendagi kanisan.cku moja akaamua kwenda maombi.kwa bahati mbaya akachaguliwa aanzishe pambio jamaa akaanza'BWANA AMETUFUNUA HALELUYA watu:aaaaah wewe kakufunua mwenyewe
Bakulutu JF-Expert Member Joined Nov 30, 2011 Posts 2,596 Reaction score 1,865 Feb 7, 2012 #2 haaaa, akyanani!! Hii kali ila TAKE CARE!!
L Luluka JF-Expert Member Joined Oct 6, 2011 Posts 624 Reaction score 161 Feb 7, 2012 #3 Ha ha,umenifanya nicheke kwa nguvu mbele za watu!
e2themiza JF-Expert Member Joined Mar 29, 2011 Posts 974 Reaction score 564 Feb 7, 2012 #4 Hahahahaha! U av made my day hahahahaha nimecheka balaa!