Pambano la Pacquiao na May Weather Floyd Jr liko mbioni kupigwa

mwekundu

JF-Expert Member
Mar 4, 2013
21,859
19,700
Sio maneno yangu hayo bali ni maneno ya Baba wa Floyd May Weather Jr.,ambaye pia ni boxing trainer wake akiwa anazungumza katika interview na Ben Thomson wa Hype.com
hi-res-48d13ad6a854d866e310a83a7199cf0e_crop_north.jpg

May Weather Sr(kushoto) ,Floyd May Weather Jr(kati) ambaye pia ni trainer wake

Alitanabaisha ni mara ngapi umewahi kusikia Floyd May Weather Jr atapigana na Pacquiao?yaah ni mara nyingi lakini naomba uniamini safari hii itatokea ,mpambano wa kukata kwa shoka ambao unasubiriwa sana na mashabiki wa Boxing utafanyika siwezi kusema lini na wapi utafanyika ila niamini utafanyika

"Man, I'm pretty sure that if don't nothing else happen, I'm pretty sure he's gonna get Pacquiao ... it's gonna happen. That fight's gonna happen. Trust me. That fight's definitely gonna happen. It's a fight for the world, man, right there. It's the biggest fight that has ever been in life, so like I said man, that fight's gonna happen. I'm gonna tell you right now, (Mayweather Jr.) never told me the fight's gonna happen, but I'm gonna tell you, the fight's gonna happen."

May Weather Jr ambaye ni bondia mwenye historia ya aina yake amewahi kushinda Match 47 atafikia uamuzi wa kupigana na Mfilipino Manny Pacquiao(PacMan) pamoja na tofauti kubwa ya Showtime na mkwanja mrefu alionao May Weather Jr ,ingawa wataalamu wengi na ma legendary wa boxing kama Mike Tyson wamemtabiria vibaya kutokana na uwezo wao wa kiufundi(technique) na speed ya kimchezo aliyonayo PacMan kwa kulitumia konde lake la kushoto (southpaw)
Bado May Weather Jr anayo hofu ya kupigwa na kusababisha kushuka kimapato na kuharibu records zake za match 47, vilevile kiufundi hua anapata ushindi wa tabu sana anapopigana na mtu anayetumia sana kushoto(southpaw) kama Pacquiao katika miaka 10 yote niliyowahi kum promote May Weather alikaririwa Bob Arum promoter wa Floyd
Kwa upande wa PacMan amewahi kukaririwa na media kadhaa kuwa atampiga Floyd na yuko tayari muda na saa yoyote ile apigiwe simu kwa ajili ya pambano
Katika media zio dalili kadhaa Cashman Brother Floyd May Weather Jr amemuweka kwenye orodha ya watu anaotaka kupigana nao na Beef(tweef) la kimitandao limeanza kama vile alivyowahi kum joke mwezi uliopita PacMan kwenye account zake za Facebook na twitter akimwambia

"Miss Pac Man is broke and desperate for a pay day. Your Pay-Per-View numbers are a joke.

10534764_719270594813108_3629659942634798166_n.jpg


source :mad:Mwekundu wa JF plus listed sources
 
Back
Top Bottom