Pambano la Mayweather vs. Logan

Linguistic

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
3,671
8,237
Wakuu,

Leo alfajili kulikuwa pambano la Mayweather na Logan limechezwa leo kwa idadi ya round 8, na hakukuwa na mshindi, ni kama ilikuwa ni exhibition match tu.

Makubaliano ya pambano lao ilikuwa round za dkk 3-3, hakukuwa na mshindi anaetangazwa, pambano lao halikuwa na judges.

Na Mayweather alishapewana advance ya m.30us$ kbla ya pambano. Nilichokiona ni kwamba, Logan isn't doing it for respect, he's doing it for money. If he wanted respect he would turn pro and fight real fighters in his own weight class and if he beat them he would automatically get respect.

Na Logan alichokosea ni kupiga ngumi hovyo hovyo. Karusha ngumi 217 na ngumi nilizobeba point nyingi ni 28 tu

Wakati floyd karusha ngumi 107 na ngumi zilizochukua point nyingi ni 43

Nadhani Logan sio bondia,

And this was not a boxing match, it was an exhibition fight

Boxing ina sheria zake

20210607_093437.jpg
20210607_090935.jpg
 
Hii imekaaje UFC fighters wanaamia kwenye boxing

Kuna Yule Chad Johnson ana kelele nyingii
 
Mkuu Huku Kwenye Boxing Kuna Pesa Nyingi kule Ufc unapasukapasuka Ila hela Hakuna.
UFC kuna pesa ndefu sema pesa inaingia kwa kampuni wapiganaji wanalipwa kiduchuuu, yaani ni kama lebo ya muziki msanii unakuja kuambiwa tumekata gharama za promotion/kuwalipa managers/nguo n.k
Ila boxing iko huru, hakuna kampuni unayoweza sema imeishika boxing kama MMA ilivyoshikwa na UFC. Kimauzo ya PPV rekodi zinaonyesha UFC inafanya vizuri sana kuliko boxing, ila ndo hivyo kwenye malipo wanapigwa panga sana compared na boxing
 
Hii imekaaje UFC fighters wanaamia kwenye boxing

Kuna Yule Chad Johnson ana kelele nyingii
Iko hivi, hawa 'YouTubers' waliovamia kwenye boxing (Logan Paul,Jake Paul na KSI) wametokea kukamata headlines sana kutokana na majina yao kuwa makubwa kwenye social medias na wana mashabiki wengi hivyo wakiandaa mapambano yanauza sana, na kwavile boxing imepoteza mvuto promoters wanavutiwa kuwatumia hawa kumake easy money kuliko kutumia nguvu nyingi kupromote real boxers ambao hawana majina hivyo kupigwa hasara. Real boxing fans/Real boxers wengi wanachukia kuona hawa watu wanapata sportlight kubwa kuliko wapiganaji wa kweli ambao wamewekeza akili zao na nguvu kwenye huu mchezo kwa miaka mingi ila hawapewi sapoti kihivo, mmojawapo ni no1 p4p boxer CANELO ALVAREZ aliwahi kuongelea hii na kuonyesha kuchukizwa. Lakini kwa upande mwingine wachambuzi/wadau wengine wa ndondi wanasapoti uwepo wa hawa watu kwa vile wanatengeneza mashabiki wapya wa boxing hivyo kuifanya boxing kuwa alive (wanawavutia casual fans). Baada ya kueleza hivyo nijibu hoja yako ya why UFC fighters wanahamia kwenye boxing;

1. UFC fighters waliopigana kwenye boxing sio wengi kama unavyofikiria, mi ninaowakumbuka ni Conor McGregor aliyepigana na Mayweather, na Ben Askrem aliyepigana na Jake Paul miezi kadhaa iliyopita kama kuna wengine niliowasahau niambie

2. Boxing ina malipo mazuri zaidi ukiwa na jina kuliko UFC ambapo kina Dana White wanawakamua sana fighters wao kwa kigezo cha kuwapa promo. UFC ni wazuri kwenye branding, wamefanikiwa kutengeneza majina makubwa kwenye combart sports kwa miaka hii kuliko boxing ila shida wanawabana kwenye malipo, ukitaka kuamini hili angalia hata following kwenye social medias, UFC fighters wengi wenye majina makubwa wana following kubwa kuliko boxers

3. Ni rahisi UFC fighter (MMA) kwenda kucheza boxing kuliko boxer kwenda kucheza MMA kutokana na kwamba MMA fighter anajifunza vingi, boxing ni part ya Martial Arts. Ila boxer kwenda kwenye MMA itamchukua muda mwingi sana ili aweze kufanya ushindani, maana itabidi ajifunze kucheza mateke, grapping, wrestling, n.k. in short MMA is very close to streetfight. Boxer smart hawezi kukubali kwenda kuwa embarrassed kwenye ring ya Octagon, kuna boxer kadhaa walijaribu kufanya hivyo wakaishia kudharirishwa vibaya. Msearch James Toney utaelewa

4. Kwa hawa YouTubers wanapendelea kupigana na hawa UFC fighters kwa vile wanajua ni rahisi kuwapiga kwenye boxing ring, maana wana basics tu za boxing hawako deep sana huko. Jake Paul anatarajia kupigana na Retired UFC champion anaitwa Woodley hapo mwezi wa nane na watauza sana, maana Woodley ana jina kubwa na hana cha kupoteza, na Jake Paul now ni hotcake kushinda hata top boxing champions. If it makes dollars it makes sense, so hongera kwa Paul Brothers
 
3. Ni rahisi UFC fighter (MMA) kwenda kucheza boxing kuliko boxer kwenda kucheza MMA kutokana na kwamba MMA fighter anajifunza vingi, boxing ni part ya Martial Arts. Ila boxer kwenda kwenye MMA itamchukua muda mwingi sana ili aweze kufanya ushindani, maana itabidi ajifunze kucheza mateke, grapping, wrestling, n.k. in short MMA is very close to streetfight. Boxer smart hawezi kukubali kwenda kuwa embarrassed kwenye ring ya Octagon, kuna boxer kadhaa walijaribu kufanya hivyo wakaishida kudharirishwa vibaya. Msearch James Toney utaelewa

Nimeelimika vzr mkuu
 
UFC wanajiuliza wanakosea wapi kwanini hawatengenezi pesa kama .
Screenshot_20210608-092552.jpg
 
UFC wanajiuliza wanakosea wapi kwanini hawatengenezi pesa kama .View attachment 1812101
Hapo wa kujiuliza sio UFC fighters tu, hata boxers. Kuna boxers wasiozidi watatu wanaoweza kumake $20 mil kwa pambano moja. Imagine Wilder na Fury kwenye pambano lao hakuna aliyeingiza kiasi hicho, ila YouTuber aliyewahi kucheza pambano moja na kupoteza anamake kiasi hicho
 
Iko hivi, hawa 'YouTubers' waliovamia kwenye boxing (Logan Paul,Jake Paul na KSI) wametokea kukamata headlines sana kutokana na majina yao kuwa makubwa kwenye social medias na wana mashabiki wengi hivyo wakiandaa mapambano yanauza sana, na kwavile boxing imepoteza mvuto promoters wanavutiwa kuwatumia hawa kumake easy money kuliko kutumia nguvu nyingi kupromote real boxers ambao hawana majina hivyo kupigwa hasara. Real boxing fans/Real boxers wengi wanachukia kuona hawa watu wanapata sportlight kubwa kuliko wapiganaji wa kweli ambao wamewekeza akili zao na nguvu kwenye huu mchezo kwa miaka mingi ila hawapewi sapoti kihivo, mmojawapo ni no1 p4p boxer CANELO ALVAREZ aliwahi kuongelea hii na kuonyesha kuchukizwa. Lakini kwa upande mwingine wachambuzi/wadau wengine wa ndondi wanasapoti uwepo wa hawa watu kwa vile wanatengeneza mashabiki wapya wa boxing hivyo kuifanya boxing kuwa alive (wanawavutia casual fans). Baada ya kueleza hivyo nijibu hoja yako ya why UFC fighters wanahamia kwenye boxing;

1. UFC fighters waliopigana kwenye boxing sio wengi kama unavyofikiria, mi ninaowakumbuka ni Conor McGregor aliyepigana na Mayweather, na Ben Askrem aliyepigana na Jake Paul miezi kadhaa iliyopita kama kuna wengine niliowasahau niambie

2. Boxing ina malipo mazuri zaidi ukiwa na jina kuliko UFC ambapo kina Dana White wanawakamua sana fighters wao kwa kigezo cha kuwapa promo. UFC ni wazuri kwenye branding, wamefanikiwa kutengeneza majina makubwa kwenye combart sports kwa miaka hii kuliko boxing ila shida wanawabana kwenye malipo, ukitaka kuamini hili angalia hata following kwenye social medias, UFC fighters wengi wenye majina makubwa wana following kubwa kuliko boxers

3. Ni rahisi UFC fighter (MMA) kwenda kucheza boxing kuliko boxer kwenda kucheza MMA kutokana na kwamba MMA fighter anajifunza vingi, boxing ni part ya Martial Arts. Ila boxer kwenda kwenye MMA itamchukua muda mwingi sana ili aweze kufanya ushindani, maana itabidi ajifunze kucheza mateke, grapping, wrestling, n.k. in short MMA is very close to streetfight. Boxer smart hawezi kukubali kwenda kuwa embarrassed kwenye ring ya Octagon, kuna boxer kadhaa walijaribu kufanya hivyo wakaishia kudharirishwa vibaya. Msearch James Toney utaelewa

4. Kwa hawa YouTubers wanapendelea kupigana na hawa UFC fighters kwa vile wanajua ni rahisi kuwapiga kwenye boxing ring, maana wana basics tu za boxing hawako deep sana huko. Jake Paul anatarajia kupigana na Retired UFC champion anaitwa Woodley hapo mwezi wa nane na watauza sana, maana Woodley ana jina kubwa na hana cha kupoteza, na Jake Paul now ni hotcake kushinda hata top boxing champions. If it makes dollars it makes sense, so hongera kwa Paul Brothers
Uchambuzi safi
Kuna mambo kadhaa nimejifunza hapa

Aksante sana Mkuu screpa
 
Sawa...
 
Nilisubiri sana kuanzishwa kwa uzi wa hiki pambano nilijua nitapata elimu kama hii... Thanks
 
Hawa jamaa ni maarufu sana huko YouTube kwa kutengeneza content mbalimbali na wanavuta mpunga mrefu kupitia hili, kuingia kwenye boxing wamejiongeza tu;

__LOGAN PAUL

__KSI

__JAKE PAUL

Jingine la kujifunza ni influence ya youtube na instagram ambayo kibongobongo tuna tabia ya kudharau. Nakumbuka posts za mwanzo kabisa za mayweather vs logan walitaja namba zao kwenye insta.
 
Hapo wa kujiuliza sio UFC fighters tu, hata boxers. Kuna boxers wasiozidi watatu wanaoweza kumake $20 mil kwa pambano moja. Imagine Wilder na Fury kwenye pambano lao hakuna aliyeingiza kiasi hicho, ila YouTuber aliyewahi kucheza pambano moja na kupoteza anamake kiasi hicho
60 Billion kwa ile exhibition?..ma.mae watu wanatengeza dola bhana
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom