Ile ngumi mpya inaitwaje tena🤣🤣🤣eti kama jamaa hajavaa permpars ni uharo🤣🤣🤣Mandonga hachomoki leo
Vzr ameshasema ukimpiga yy kashindajamani kwa wanaojua channel inayoonesha pambano kati ya mandonga na jamaa wa kenya leo naomba msaada
Nani kapigwaMbona keshamlaza szamani na pambano limeisha
Brother isijekuwa tofautiEhe ,mandonga anaua mtu huko leo
Ova
Brother isijekuwa tofautiEhe ,mandonga anaua mtu huko leo
Ova
Yan kabisa na sahiz naona hata fighting yake ime improve sanaMandoka ina bidi wampe ubalozi wa ngumi afrika mashariki...
Pia apate watu wakumuongoza apige hizi pesa za uzeeni...
Yani mim naogopa wale wakenya hawanaga masihara ujueBrother isijekuwa tofauti
Akipigwa kama kapigaEhe ,mandonga anaua mtu huko leo
Ova
Kuna mdau humu anasema mandonga ashamkalisha mtu hukoBrother isijekuwa tofauti
DuhMision accomplished kitraaamboo View attachment 2481236