Pamba FC ya Mwanza wana TP Lindanda katika historia ya mpira Tanzania timu hii ilikuwa ni tishio hata kwa Simba ya Yanga.

Richard

JF-Expert Member
Oct 23, 2006
14,939
20,400
1537128037088.png

Walosimama kutoka kushoto: Kipa namba moja Madata Lubigisa, Rajabu Msoma , Beya Simba, Nteze John, Kitwana Selemani, Fumo Felician, Paschal Mayala na kipa Paul Rwechungura.

Walokaa kutoka kushoto ni : George Gole, Khalfan Ngasa, Ali Bushiri, David Mwkalebela, Maonwa Mkami, Alphonce Modesti, Juma Amiri Maftah na Nico Bambaga.

Hii ni timu iliwika kati ya mwaka 1980 na 1990 ingawa ilikuja timu ingine kati ta mwaka 1990 na 1995.

Hapa ndo Pamba ilikuwa haijampata kiungo mahiri Huseein Marsha na beki mshahara George Masatu.

Hiki ndicho kikosi kilichotikisa soka la Tanzania wakti ule Pamba FC au Tout Poisssant Lindanda.

Akiwepo Chilambo Domonikc ameshika kopaza sauti kwenye mechi kati ya Simba na Yanga CCM Kirumba Mwanza, basi hauna mahitaji ya Charles Hirary, Salum Mbonde, na Sekione Kitojo, wao wanabaki Dar-es-Salaam.

Kulikuwa na timu zingine pinzani kwenye ligi kuu ya Tanzania bara zikiwemo Pilsner ya Arusha, mecco ya Mbeya na Sigara ya Dar-es-Salaam.
 
Abdallah boli sijamuona hapo

Abdalah Bori alikuwa kwenye timu hii ya Pamba akiwa pamoja na George Masatu na Hussein Marsha.

1537202432091.png

Waliochuchumaa Hamza Mponda, Juma Amir Maftah, Rashid Abdallah, George Masatu, Hamis Nyembo, Abdallah Bori na Khalfan Ngassa.
Waliosimama Madata Lubigisa, Ibrahimu Magongo, Fumo Felician, David Mwakalebela, Rajab Risasi, Hamis Seleman, Beya Simba, Ali Bushiri, Hussein Amani Masha na Paul Rwechungura.
 
Mechi ya mafundi wa soka ilikuwa kati ya Pamba na Ushirika Moshi.

KIKOSI CHA USHIRIKA ENZI HIZO

1. OFTEN MARTIN
2. ATHUMAN SHUNDA
3. WAZIRI ALLY
4. DAVID ROGERS
5. WILLY MARTIN
6. PASCAL MAINGU
7. RASHID KONDO
8. ANDREW KABISAMA
9. OMARY ABAS
10. JULIUS KALAMBO
11. VENANCE MWAKALUKWA

Wa akiba alikuwepo kiungo Sekilojo Chambua ambae baadae alikwenda Yanga na wengine.

Upo hapo?
 
Kikosi cha Reli ya Morogoro (Kiboka ya Vigogo):

  1. Athumani Msomali
  2. Gasper Lupindo
  3. Baka Tutu (RIP)
  4. Madundo Mtambo (currently Professor Madundo Mtamba - SUA) sikumbuki)
  5. Fikiri Magoso (baadae Simba SC)
  6. Juma Salum
  7. Duncan Butinini (RIP)
  8. Boniface Njohole (Ndugu moja na akina Renatus Njohole)
  9. Mwanamtwa Kihwelu (Ndg moja na akina Jamhuri Kihwelu)
  10. Mbuyi Yondani (Baba Mkubwa wa Kelvin Yondani)
  11. David Mihambo (Baadae Simba SC)
sub Duncan Mwamba, Habib Kondo, Wema Juma "Fashanu", Mathias Mulumba, daah long time... my memory fails me!
 
KIKOSI CHA USHIRIKA ENZI HIZO

1. OFTEN MARTIN
2. ATHUMAN SHUNDA
3. WAZIRI ALLY
4. DAVID ROGERS
5. WILLY MARTIN
6. PASCAL MAINGU
7. RASHID KONDO
8. ANDREW KABISAMA
9. OMARY ABAS
10. JULIUS KALAMBO
11. VENANCE MWAKALUKWA

Wa akiba alikuwepo kiungo Sekilojo Chambua ambae baadae alikwenda Yanga na wengine.

Upo hapo?
Umemsahau Kaunda Mwakitope
 
View attachment 868446
Walosimama kutoka kushoto: Kipa namba moja Madata Lubigisa, Rajabu Msoma , Beya Simba, Nteze John, Kitwana Selemani, Fumo Felician, Paschal Mayala na kipa Paul Rwechungura.

Walokaa kutoka kushoto ni : George Gole, Khalfan Ngasa, Ali Bushiri, David Mwkalebela, Maonwa Mkami, Alphonce Modesti, Juma Amiri Maftah na Nico Bambaga.

Hii ni timu iliwika kati ya mwaka 1980 na 1990 ingawa ilikuja timu ingine kati ta mwaka 1990 na 1995.

Hapa ndo Pamba ilikuwa haijampata kiungo mahiri Huseein Marsha na beki mshahara George Masatu.

Hiki ndicho kikosi kilichotikisa soka la Tanzania wakti ule Pamba FC au Tout Poisssant Lindanda.

Akiwepo Chilambo Domonikc ameshika kopaza sauti kwenye mechi kati ya Simba na Yanga CCM Kirumba Mwanza, basi hauna mahitaji ya Charles Hirary, Salum Mbonde, na Sekione Kitojo, wao wanabaki Dar-es-Salaam.

Kulikuwa na timu zingine pinzani kwenye ligi kuu ya Tanzania bara zikiwemo Pilsner ya Arusha, mecco ya Mbeya na Sigara ya Dar-es-Salaam.

Ushirika Moshi
 
Back
Top Bottom