Palizi la bustani

:A S 13::A S 13:!!! cha kwanza mbona kinaniua mieeee!!

si ntanatiamo kabisa mimi? akchuale niko tayari kufukuzwa kazi kwa wiki moja!!

teheeee!!

Hauna sabuni au losheni pembeni hapo?
 
sio mavuno watu tunasemea mavuno ya black farm
lakini mzima weye

Aisee hebu badili avatar bana

Unawekaje avatar ya mastress kama hiyo wakati wewe ni .........!!!!!!
 
Inategemea hiyo bustani umrlima kwa matumiz gani kama nikwa ajil ya kukaa nakunyoosha mgongo majani yake lazima yakatwe ili yasikuwashe, kama nikwa ajili ya kulishia ng'ombe laIzim uache liwe pori hataree ng'mbe apate kutoa maziwa.

Kumbeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!
 
Kama kipara vile paroko mwenzangu?

ewaaa baba paroko.....kwangu mzuka sana....unajua kuna watu wanapenda majani marefu kunako bustani na huku hawajui kuyaprun, kuyapalilia, kuweka mbolea na dawa nk...sasa inakuwa chaos....,hasa kwa siye tunapoenda 'kulala' bustanini
 
Inatakiwa yakatwe lakini yasiishe kabisa yaani yabaki kama yanaota vile

Mzuka wake ni balaa!!!!!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…