Palestine thanks Tanzania for support at UN

at least you have come out openly and easily to be understood. from there now, wise people can at least argue. lakini hawa wanaoegemea imani nawaona kama wendawazimu
 
at least you have come out openly and easily to be understood. from there now, wise people can at least argue. lakini hawa wanaoegemea imani nawaona kama wendawazimu

Mkuu penye ukweli lazima tuseme. Kuna watu Tanzania waliandamana kumuunga mkono Osama wakati aliratibu mauaji ya ndugu zetu 1998. Inashangaza watu kuwa na uchungu zaidi na wapalestina kuliko ndugu zao wa-Tanzania au hata Kenya hapo jirani ambapo al shabaab wanafanya mauaji kila leo lakini kimya. Imani nyingine walakini sana.
 

Mkuu Notra.kwenye huu mtiririko wako umeenda vizuri ila ulipofikia kwa Yuda umepindisha kidogo.Ni utabiri uliokuwepo kwamba kabila la yuda ndo pekee litakalo baki.Kuhusu wayahudi na ukristo ukipata mda soma WARUMI 11:1-32.Pitia taratibu utaelewa kitu.NA KUHUSU YUDA ANGALIA MWANZO 49:8-12.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…