Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,471
- 12,373
Ile unafungua mlango wa ofisi yako tu unakutana na hii kitu kwenye kiti chako sijui utafanyaje?
Huyo atakuwa sio Paka bali ni binadamu aliyejigeuza Paka Ukimpiga utadhurika.Ukikuta hiyo mambo, unampigia simu Dr. MziziMkavu tu!
Unawachukulia poa wanawake!!??nao wamo katika uchawi....kama ujuavyo tena siasa za bongo %kubwa ndumba zinahusikaAhahaha hiyo kitu akikutana nayo waziri tena awe mwanamke, kesho yake utasikia kajiuzulu.
Ile unafungua mlango wa ofisi yako tu unakutana na hii kitu kwenye kiti chako sijui utafanyaje?