Pale Unapomwita Mwanae " Baba Swalehe "

Hvi jamaa ile track yake ya kumjibu nick katoa?
 
Hahahahaaa watu wabaya sana.
Ila ukisikiliza ule wimbo wa Nick ni kama kamuimbia jamaa Le Mutuz kabisa.
Hasa pale "unajisifu una mabebez kama Mswati....."
 
Hahahahaaa watu wabaya sana.
Ila ukisikiliza ule wimbo wa Nick ni kama kamuimbia jamaa Le Mutuz kabisa.
Hasa pale "unajisifu una mabebez kama Mswati....."
hahaha...hv ile dis track ya le mutuz haijatoka tu?
 
Kwahiyo baba swalehe @k1s33k@ @7@kuw@ h1v1 .
 
Yani huyu mzee ninamuoneaga huruma sana kwa kuzaa litoto lisilokua milele
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…